mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ubaya upi anaufanya Samia magufuli hajaufanya?Imagine Akifufuka
JPM Akirud kama hero
Ubaya upi anaufanya Samia magufuli hajaufanya?Imagine Akifufuka
JPM Akirud kama hero
Za kwenu ziliishakamilika.Haitasaidia kitu. Siku zenu zina hesabika sasa.
Atakufa kifo cha mateso makali sana.Ila hizi damu anazomwaga Samiah na genge lake zitamrudia
Matumaini mapya kwa Tanzania Mpya ndio kwanza yameanza kujionyesha. Hakuna tena mnaloweza kufanya kuyazuia haya.Za kwenu ziliishakamilika.
Hawajamuachia tu au wameshamwaga damu yake?Tanzania yangu
We dizaini ya Ndumilakuwili!Kwakwel katika jambo sitaki kujihusisha ni siasa tu sina upande wowote mm CCM wakiwa na mkutano naenda na nashangilia chadema hivohvo na act pia hivohvo kikubwa ni najua kuchuja jema na baya hvo naishi kwaamani
Tukija vijiweni waongee yote wakianza habar za siasa nasepa wakirud kwenye Simba na yanga na umbea wa wasanii narudi
Shetani jingine hili hapa. Subirini ukuu wa Mungu wetu, wala hachelewi wala hawahi, bali hutenda kwa wakati ulio sahihi kwa hekima yake.Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
Akipotea wewe inakufaidia nini?, ukipewa dunia nzima na vyote vilivyomo ukifa utaondoka navyo?.Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
Mungu haangalii upande mmoja Dogo!Shetani jingine hili hapa. Subirini ukuu wa Mungu wetu, wala hachelewi wala hawahi, bali hutenda kwa wakati ulio sahihi kwa hekima yake.
Sasa wewe kinakuuma nini akipotea iwapo kila kitu tutakiacha hapa?Akipotea wewe inakufaidia nini?, ukipewa dunia nzima na vyote vilivyomo ukifa utaondoka navyo?.
Kuweni na utu japo kidogo, hakuna cheo, nafsi au utajiri ulionao/mlionao ambao haujawahi kuwa chini ya watu wengine.
Kuweni na utu.Sasa wewe kinakuuma nini akipotea iwapo kila kitu tutakiacha hapa?
wewe tutakuita kunguru mwogaKwakwel katika jambo sitaki kujihusisha ni siasa tu sina upande wowote mm CCM wakiwa na mkutano naenda na nashangilia chadema hivohvo na act pia hivohvo kikubwa ni najua kuchuja jema na baya hvo naishi kwaamani
Tukija vijiweni waongee yote wakianza habar za siasa nasepa wakirud kwenye Simba na yanga na umbea wa wasanii narudi
Haya majitu hata hayamu kwenye hatamu za nchi ni uchawa tu wa kula makombo ya wakubwaKuweni na utu.
Tofauti ya mitazamo au maoni kinzani dhidi ya yale mpendayo kuyafanya/kuyasikia yafawafanye mkaona mali, umaarufu, madaraka au fedha ni bora kuliko uhai wa wengine.