Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wala siyo mbaliIla hizi damu anazomwaga Samiah na genge lake zitamrudia
Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji
Kwanini??.
Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea kuyakosoa.
Na Kwakua Hakubali kukosolewa, Baaasi, watu wangeendelea Kutekwa na Kuuwawa !!.
Hakika Kuanzia 2026 Watanzania wangeishi kama Digidigi Ndani ya Nchi yao.
Mpaka kufikia muda huu Tanzania 70% , Samia na genge lake 30% .
Hawa wahuni wameshashindwa Wakuu, wanachelewesha tu Anguko lao ambalo ni hakika ila Hawatoboi .
Hatutashangaa. Samia The Killer is a blood-thirsty monster!Naye watamuua
Bibi kajipa jukumu la kuwa mtoa roho kusahau kuwa hata yeye hatoishi milele.Naye watamuua
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji
Kwanini??.
Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea kuyakosoa.
Na Kwakua Hakubali kukosolewa, Baaasi, watu wangeendelea Kutekwa na Kuuwawa !!.
Hakika Kuanzia 2026 Watanzania wangeishi kama Digidigi Ndani ya Nchi yao.
Mpaka kufikia muda huu Tanzania 70% , Samia na genge lake 30% .
Hawa wahuni wameshashindwa Wakuu, wanachelewesha tu Anguko lao ambalo ni hakika ila Hawatoboi .
Ngoja tuone ataua wangapi na atapata faida ganiBibi kajipa jukumu la kuwa mtoa roho kusahau kuwa hata yeye hatoishi milele.
Shetani hana Rafiki, akitaka damu yako haijalishi uko upande ganiKwakwel katika jambo sitaki kujihusisha ni siasa tu sina upande wowote mm CCM wakiwa na mkutano naenda na nashangilia chadema hivohvo na act pia hivohvo kikubwa ni najua kuchuja jema na baya hvo naishi kwaamani
Tukija vijiweni waongee yote wakianza habar za siasa nasepa wakirud kwenye Simba na yanga na umbea wa wasanii narudi
Sasa wote wenye msimamo huo wa Lissu unataka wote wakajiapize huko mahakamani ndipo utambue kuwa wapo akina Lissu wengi ndani ya nchi hii?Aaah,kutukana wenzio ni sawa, kutekwa wewe unalalamika? Ni bora uwe jasiri kama Lissu yeye kaapa kwamba msimamo wake w kukinukisha na kuzuia Uchaguzi ikibi afe uko pale pale hayumbiyumbi.
Haitasaidia kitu. Siku zenu zina hesabika sasa.Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
Aaah,kutukana wenzio ni sawa, kutekwa wewe unalalamika? Ni bora uwe jasiri kama Lissu yeye kaapa kwamba msimamo wake w kukinukisha na kuzuia Uchaguzi ikibi afe uko pale pale hayumbiyumbi.
Watamuua tena. Wauhuni hawakawiiImagine Akifufuka
JPM Akirud kama hero