Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

Yaani Nchi yetu sasahivi kutekana na kuuwana imekuwa jambo lakawaida kabisa hii ni hatare
 
Reactions: K11
Nakuwa keyboard warriors chap!
Haya mambo hayafai bila kujali yanafanywa na nani.
 
Reactions: K11
We dizaini ya Ndumilakuwili!
 
Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
Shetani jingine hili hapa. Subirini ukuu wa Mungu wetu, wala hachelewi wala hawahi, bali hutenda kwa wakati ulio sahihi kwa hekima yake.
 
Reactions: K11
Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
Akipotea wewe inakufaidia nini?, ukipewa dunia nzima na vyote vilivyomo ukifa utaondoka navyo?.

Kuweni na utu japo kidogo, hakuna cheo, nafsi au utajiri ulionao/mlionao ambao haujawahi kuwa chini ya watu wengine.
 
Sasa wewe kinakuuma nini akipotea iwapo kila kitu tutakiacha hapa?
 
Sasa wewe kinakuuma nini akipotea iwapo kila kitu tutakiacha hapa?
Kuweni na utu.
Tofauti ya mitazamo au maoni kinzani dhidi ya yale mpendayo kuyafanya/kuyasikia yafawafanye mkaona mali, umaarufu, madaraka au fedha ni bora kuliko uhai wa wengine.
 
Nchi yetu rais ana mamlaka makubwa sana hata kuanzisha kikosi maalumu cha kumaliza watu na hamna mtu atakae hoji
 
Polisi wenyewe wanamtafuta
Hawajui alipo

Ova
 
wewe tutakuita kunguru mwoga
 
Kuweni na utu.
Tofauti ya mitazamo au maoni kinzani dhidi ya yale mpendayo kuyafanya/kuyasikia yafawafanye mkaona mali, umaarufu, madaraka au fedha ni bora kuliko uhai wa wengine.
Haya majitu hata hayamu kwenye hatamu za nchi ni uchawa tu wa kula makombo ya wakubwa
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…