Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Nilikuta hii stori kwenye Women Magazine, inamhusu dada mmoja mzaliwa wa Urusi lakini ni raia wa Uingereza. Aliwenda Uingereza na wazazi wake akiwa mdogo. Jina lake Natasha.
Natasha akiwa na miaka 20 na mwanafunzi wa chuo kikuu, alikuwa binti mwenye kujipenda sana. Siku moja akiwa amejipamba vizuri alikuwa kwenye mizunguko ya madukani alikutana na mwanaume amevaa casual lakininadhifu. Yule mwanaume alimsalimia Natasha alimuambia amempenda angependa akutane nae tena. Alitoa namba yake ya simu akampa Natasha akamuambia nipogie ukipata nafasi.
Natasha aliidharau kwanza ile namba. Sikumoja akiwa hana la kufanya aliamua kumpigia simu bwana nadhifu amsalimie. Yule mwanaume alumwambia wakutane kwenye duka la kahawa. Walikutana na kuongea. Mwanaume alikuwa na miaka 40. Mzaliwa wa Urusi na alikabidhiwa biashara na mzee wake anaishi Uingereza.
Alimualika lunch weekend iliyofuatia. Natasha kukuta lunch imeandaliwa kwenye Yatch. Champagne za nguvu mambo ya caviar. Yatch ilikuwa nadhifu, yule mwanaume alimwambia anapenda kutumia Yatch yake kuzungukia dunia. Wakati wanaagana yule mwanaume alimuomba Natasha ampe company weekend inayofuatia atakua na lunch na business partners wake. Alifanya bank transaction ya £10,000 akamwambia afanye shopping awe nadhifu.
Toka pale Natasha ametoka na tajiri yule kwa miaka 20. Tajiri yule alioa na kuachana na mkewe wakiwa na watoto wawili. Baadae alipata girlfriend na kuzaa nae mtoto mmoja. Aliweka wazi kwa Natasha kuwa hataki tena mtoto na Natasha amekubali.
Natasha anaeleza uhusiano wao ni kuwa kuna wakati anamwqmbia usinitafute mpaka nitakapo kutafuta lakini anaachiwa £50,000-100,000. Hapo waratengana kwa miezi miwili baadae atampigia simu na maisha yanaendelea. Haulizi affairs za yule mwanaume kabisa.
Baada ya miaka 20, Natasha anasema ameshayazoea yale maisha. Wanaweza kukaa kwenye Yatch miezi mitatu wakiwa kwenye nchi za joto wakikimbia baridi ya Ulaya. Hawazi tena kuwa na mtoto na hataki kumpoteza tajiri wake.