"Amevunja kanuni na utaratibu wa chama,hatufai!kamati kuu imeridhia hatoteuliwa kuwa mtia Nia wa urais"!

Hivi ataweza kuzunguka nchi nzima kupiga kampeni kweli?
Maana amezoea ughaibuni zaidi, kuja huku vijijini si shidazake kabisa!!!
Asijefosi naye akapata hitilafu kamaile ya umeme ilompata jiwe.... iepushiliwe mbali dah!!!
 
Ngoja Chawa wa Kizanzibar waje wakupopoe na mawe
 
KWA KANUNI ZA CHAMA CHETU, VIPINDI VYA URAIS NI VIWILI, HILI HALINA MJADALA, SSH NDIYE MGOMBEA PEKEE KWA CCM 2025, KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA KICHAMA, CHADOMO ACHENI KUTOA TETESI ZA KIJINGA KABISA!.
 
hahahahaah.unachekesha kweli.hivi kuna mtu anaweza kumng'OA mwekiti wa chama ? subutu
 

Hiyo ni cha mtoto..

Kubwa nI kuwa huyu ni Mzanzibari, raia wa taifa/nchi nyingine..

Tanganyika hatuko tayari kuongozwa na mwanamke na tena raia wa nchi jirani!!!

Nimesema na itakuwa hivyo!
 
Zile pikipiki zimeandikwa SSH 2025 ni za chama au ni zake binafsi
 
chadema wanacho haha hdi sasa ni kutokana na kwamba huyu mama ndio mwalimu wa demokrasia hadi hawamini macho yao
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…