"Amevunja kanuni na utaratibu wa chama,hatufai!kamati kuu imeridhia hatoteuliwa kuwa mtia Nia wa urais"!

Huyu jamaa (namba moja, na yoga ,
Watoto/Vifaranga wa 2000 hawawezi kuwaelewa!

Unapaswa kuwa na D 5! ama GPA ya 4 ,ama uwezo wa kufungua (jicho la 3) ili kuelewa maandiko yao!

Prophets of the doom!

Yajayo...yanafurahisha!

Nimeweka Kambi!....

Hao jamaa hawabahatishagi!
 
Labda kama atakaimisha uenyekiti wake halafu huyo aliemkaimisha akakisa nguvu ya kumoitisha,rejea JK alikuwa na nia ya kumbeba Membe,akijua ya kwamba JPM hajulikani.
 
Cc wimbo wa Ney Mitego, mimi ni hilo tu
 
mleta mada tafuta bangi tu uvute.CCM ni levo nyingine kabisa.
 
Porojo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…