Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Duuuh umemsikia Wapi au MIMI NIPO nyuma ya Muda lini amejiita yeye ni Chura? Naomba HIO Video akisema yeye ni Churaameamua kujiita chura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh umemsikia Wapi au MIMI NIPO nyuma ya Muda lini amejiita yeye ni Chura? Naomba HIO Video akisema yeye ni Churaameamua kujiita chura
Huyu jamaa (namba moja, na yoga ,Mkuu kuna baadhi ya nyuzi zako sio za kuchukuliwa poa. Hii tunaita ni tip tip tap tip of wat kinaenda kutokea.
Binafsi nakiaminia sana CCM kwenye maamuzi yasiyotarajiwa.
Huku ile kauli ya sikio halivuki kichwa huwa naona inatekelezwa ipasavyo. CCM ni lidude fulani kubwa, ukiona kama vile unaliendesha ujue umeachiwa tu, ila likiamua utaindoka kwa vyovyote vile.
Mifano ipo mingi, kuna wale wabishi wasioona mbali waendelee.
Hamna kitu hapa...CCM ni ile ile...naweka kambi hapa
mleta mada tafuta bangi tu uvute.CCM ni levo nyingine kabisa.Wakuu
Nilipata wasaa wa kumtembelea kada mkongwe sana wa chama chetu Cha mapinduzi juzi huko isimani mkoani Iringa,tukapata wasaa wa kujadili mawili matatu juu ya mwenendo wa chama chetu kuelekea uchaguzi mkuu 2025!
"Kanuni tulizotumia mwaka 2015 wakati wa uteuzi wa hayati jpm ndizo tutazitumia 2025,uadilifu ndio msingi mkuu wa uteuzi was jina la mgombea wetu na SI vinginevyo!
Ugawaji wa Rushwa ya wazi na kuanza kampeni mapema plus ubadhirifu ndio kanuni pekee itakayotumika siku ya mkutano mkuu"
"Mtajwa ameshaonyesha dalili za kukiuka kanuni ameshagawa rushwa za pikipiki na bajaji zenye majina yake pia ameanza kampeni tangu mwaka 2021 Kwa kutamka hadharani atagombea na ushahidi wa wazi kabisa wa piki piki zenye picha yake ameshagawa hiyo ni rushwa ya uchaguzi na chama kimeamua kumuengua mapema kabisa,Mwambieni asijisumbue kwasababu amejiaharibia sifa zote za utia nia"
Nilipomuuliza kwamba desturi yetu inasema lazima ashike mara mbili na sio moja kwanini asiteuliwe!!?
"Ni Huwa anapewa mara mbili lakini amekiuka kanuni Kwa kutoa rushwa wazi wazi Tena bila kificho hiyo ni kuikosea CCM kama taasisi kongwe hapa nchini"
Bado natafakari Ndoto hii nilioiota usiku wa kuamkia leo!
Tusubiri tuone kitakachojiri 2025!
Porojo...Wakuu

Mbona nasikia ni muslim2025 ni mwanaume mkristo