Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Kwa Makonda mtanyooka

Acha usengerema wewe chawa!
 
11 people are here😂😂😂😂 Mmetulia tu hamuamini na hamna cha kucomment.
 
Niletee sehemu inayomtaja Makonda na kunivua nguo?

Tatizo elimu elimu elimu

Rudia nyuzi zoote nilizoandika kuna Sehemu nimetaja jina Makonda kuhusishwa na unavyohisi?

Shuleni mlienda kufanya nini vijana


Britanicca
britanicca njoo uone huku Jamaa yako anakuvua nguo hadharani huku kwamba Wewe umewalisha matangopori wadau sasa wanauguza matumbo yako km mkeka basi huu umechanika
e
 
Sawa mama Kigani tumekusikia
 
We mchepuko.....Teh teh
 
Majasusi wa JF wame kimbia mafichoni
Nadharia chonganishi. Inawezekana walipanga kumuua kwa sumu, na wakapanga kila kitu wakajua hajui kumbe alijua kila kitu, hivyo ktk kutekeleza nia yao ovu wakafanya then mwamba kile chakula kikabadilishwa juu kwa juu ila wale waovu wakajua alochokula ndiyo chenyewe na akaamua kupotea ili kuzuga. Hahaha yaani hiyo nadharia ya kijinga ya kwangu
 
Hujakaribia
 
Naona kama scenario hii ktk political science inajaribu kutengeneza uimara wa mhusika na kuleta image kubwa ya umadhubuti wake kwa umma, yeah inawezekana for presidential preparation au any other higher positions. Otherwise hakuna jipya, but the gentleman deserve a certain position of public authority
 
Niletee sehemu inayomtaja Makonda na kunivua nguo?

Tatizo elimu elimu elimu

Rudia nyuzi zoote nilizoandika kuna Sehemu nimetaja jina Makonda kuhusishwa na unavyohisi?

Shuleni mlienda kufanya nini vijana


Britanicca

e
Nimevamia shughuli isiyonihusu kwa hio waliompikia Sumu ni nani au alishagazikwa? Mnatufanya watu tunaonekana km vigagura huku na uzushi wenu usiokua na ukweli
 
Hizo political stunts zenu mtaendelea kuwavua wenye akili fupi kama wale mliozoea kuwapata siku zote.
Werevu walishajua hiyo michezo mnayoichezesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…