Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
Sijui uko dini gani lakini kama ni muislamu inafaa ufanye istighfar. Kwa nini umuue wakati kila mtu ana maisha yake na ataingia kaburini kwake pale atakapokufa na atakwenda kukutana na hukumu ya Mwenyezi Mungu peke yake?

Ati jina la familia linachafuliwa, kwani nyinyi wanaume si kila siku humu munakuja kujisifu kwamba munatembea na wake za watu na baadhi yenu hata kusema mumewazalisha?
 
Me mwenyew ninako kamoja kanajua kabisa mm ni mume wa mtu na nina watoto watatu wote wa kiume. Mwanzo baada ya kukatongoza tukakubaliana sisi ni kupelekeana moto tu na kula bata za hapa na pale na ni lazima kuvaa mpira. Sasa siku zinavyozidi kwenda mara ananiambia nataka kunizalia mtoto wa kike, me namchora tu. Nilimpotezea siku mbili tatu hapa akachanganyikiwa hadi kaniweka status za whatsapp🤣🤣. Nina mpango nimkimbie
 
Bora halijakutokea maana una mikemko sana.
 
Yanatuhusu nini sisi hayo?
 
Eeh tatizo ni la wazazi pia wajinga. Wee mzazi mtoto wako anagegeda warembo huko nje unakenua meno tuu. Upuuzi huo. Mzazi unapaswa kulinda heshima la jina lako ata kwa kumwaga damu. Mtoto wako anazini wee unamuangalia tuu, sijui anakuwa mqizi unacheka tuu. Hao ni kukamata na kuchinja tuu. Aisee bahati mbaya tuu siwezi zalisha ila mie watoto wangu wangukuwa wamenyoka vilivyo. Hapana lea upuuzi. Mtoto wako anakuja kuzalia kwako wee unaangalia tuu.loh!
 
Nimuue dada ang tena?[emoji849]
 
Acha ujinga basi rafiki
 
Exactly,,me kwenye kupiga nae story nikamuuliza kwann ulitoka na mme wa mtu wakati vijana kibao tu wanakuitaji,, akanijibu"Mme wa mtu anamwaga Salio,hawazi mara mbili".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…