Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Visa viwili viwili duniani acha kbsa woyowoyooo...Alikuwa anaishi Mwenge, Karibu na pale Vinyago
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Visa viwili viwili duniani acha kbsa woyowoyooo...Alikuwa anaishi Mwenge, Karibu na pale Vinyago
Sijui uko dini gani lakini kama ni muislamu inafaa ufanye istighfar. Kwa nini umuue wakati kila mtu ana maisha yake na ataingia kaburini kwake pale atakapokufa na atakwenda kukutana na hukumu ya Mwenyezi Mungu peke yake?Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
Bora halijakutokea maana una mikemko sana.Mie nikiwaambiene kuwa uzinzi tunaendekeza sie wenyewe ndugu mnasema oh mzabzab katili.
Wee kama kaka umetia aibu. Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
Yanatuhusu nini sisi hayo?Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.
Eeh tatizo ni la wazazi pia wajinga. Wee mzazi mtoto wako anagegeda warembo huko nje unakenua meno tuu. Upuuzi huo. Mzazi unapaswa kulinda heshima la jina lako ata kwa kumwaga damu. Mtoto wako anazini wee unamuangalia tuu, sijui anakuwa mqizi unacheka tuu. Hao ni kukamata na kuchinja tuu. Aisee bahati mbaya tuu siwezi zalisha ila mie watoto wangu wangukuwa wamenyoka vilivyo. Hapana lea upuuzi. Mtoto wako anakuja kuzalia kwako wee unaangalia tuu.loh!Sijui uko dini gani lakini kama ni muislamu inafaa ufanye istighfar. Kwa nini umuue wakati kila mtu ana maisha yake na ataingia kaburini kwake pale atakapokufa na atakwenda kutukatana na hukumu ya Mwenyezi Mungu peke yake?
Ati jina la familia linachafuliwa, kwani nyinyi wanaume si kila siku humu munakuja kujisifu kwamba munatembea na wake za watu na baadhi yenu hata kusema mumewazalisha?
Uzuri haliwezi nitokea maana. Bahati mbaya siwezi zalisha. Wazazi wa huyo binti ni wapuuziBora halijakutokea maana una mikemko sana.
Sawa ila punguza mihemko mkuu.Uzuri haliwezi nitokea maana. Bahati mbaya siwezi zalisha. Wazazi wa huyo binti ni wapuuzi
Hamna mihemko huo ndio ukweli wa mambo. Tunalalamika oh ushoga unazidi mara sijui ngono zembe ukweli ni kwamba wazazi ndio tunaruhudu hivyo vitu.Sawa ila punguza mihemko mkuu.
Nimuue dada ang tena?[emoji849]Mie nikiwaambiene kuwa uzinzi tunaendekeza sie wenyewe ndugu mnasema oh mzabzab katili.
Wee kama kaka umetia aibu. Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji119]Dadaako mi nilimkanya sitaki habari za mimba sasa mbona mmeanza lawama tena.
Naona hii ndo njia pekee sahihi for the time being [emoji1666]Muhimu kajifungua kwa amani basi ale tu mtoto since jamaa aliweka wazi msimamo wake mapema.
Hayo mengine yatajulikana tu mda wake ukifika.
Sure.,...Ni ngumu kumeza.
Mama ang mwenyew alishawahi kuaniambia "Sisi wanawake tunamatatizo",,,hii jinsia[emoji119]Mwanamke akiwa na nyege bana ,akili zinayeyuka kabisa ....Sasa hapo kafanya nini
Mm?[emoji23][emoji1666]Pole sana. Nashauri endelea tu kumlea mtoto mwenyewe. Mungu akutie nguvu.
Sure thing [emoji1666]Alee mtoto maana alishapewa maelekezo.
Acha ujinga basi rafikiMie nikiwaambiene kuwa uzinzi tunaendekeza sie wenyewe ndugu mnasema oh mzabzab katili.
Wee kama kaka umetia aibu. Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
Exactly,,me kwenye kupiga nae story nikamuuliza kwann ulitoka na mme wa mtu wakati vijana kibao tu wanakuitaji,, akanijibu"Mme wa mtu anamwaga Salio,hawazi mara mbili".Huyo dada yako kichwani alikuwa ana msemo ambao umetawala kwenye vichwa vya wanawake wengi mno "mme wa mtu anajua kulea........mme wa mtu anajua kuhonga...... ".
Huu mtego umewanasa wanawake wengi mno leo hii wamekuwa masingle mama,sababu tu tamaa ya fedha.