Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

We umkimbie uende wapi?
Huyo ni wakwako.
Maana huba limetaradadi.
 
Hakuna ujinga wanawake micheps wanafanya kama kuzaa na Mme wa mtu ,ni ujinga mtupu na wanakosea sana
Tatizo la kutembea na mume wa mtu ni hilo.
Nina dada yangu anatembea na top mmoja.
Kajengewa white house huko Kigamboni.
Wana miaka mitano.
Na jamaa kila mwezi anampa million 3 ya matumizi hii haijumlishi vibomu vya hapa na pale anavyompiga na kamfungulia sonara ya maana sana mjini hapa lakini mwanaume suala la mtoto hataki kabisa.
Sasa namuambia dada we utaishi hivyo hadi lini?
Anasema sielewi itakapoishia ndo hapo hapo.
Na si kama wanajificha wapo free sana ni kama vile mke sema hajamuoa.
Ila jamaa mtoto alishasema toka day one hataki mtoto na akisema siku ana mimba ndo mwisho wao.
Nachoshangaa huo mjengo na hizo mali bila mtoto nyumba si inapooza sana?
Aisee mie siwezi bora nile bamia kila siku lakini niwe na watoto.
Watoto raha sana.
 
Muhimu kajifungua kwa amani basi alee tu mtoto since jamaa aliweka wazi msimamo wake mapema.

Hayo mengine yatajulikana tu muda wake ukifika.
Ni upumbavu kukataa damu yako,hakuna kinachoweza justify hilo.
 
Nilichogindua jamaa tangu awali alitumia akili kwenye mahusiano badala ya hisia.

Safi sana sasa kama jitu limeshindwa kujielewa unataka yy alifanyaje?
 
Nilichigindua jamaa tangu awali alitumia akili kwenye mahusiano badala ya hisia.

Safi sana sasa kama jitu limeshindwa kujielewa unataka yy alifanyaje?
Kama angetumia akili angekuwa anatumia ndomu kila wanapo kutana ama angebaki na mke wake.
Kukataa kiumbe chako halali ni upumbavu na ujinga.
 
Kama angetumia akili angekuwa anatumia ndomu kila wanapo kutana ama angebaki na mke wake.
Kukataa kiumbe chako halali ni upumbavu na ujinga.
Kuna watu wengine misimamo yao walishaazimia kutokuwa na mtoto nje. Labda yy binafsi kaamua kutomtambua tu.
Ingawa kukataa mtoto ndio kiukweli ni mbaya. Kingine akimkubali mtoto basi akubali kupoteza ndoa yake. Nae hayuko tayari kwa hilo.
 
Unapoweka misimamo timiza pia wajibu wako,angepungukiwa nini kama angekuwa anatumia kinga kila wanapo kutana? Tusitake kumlaumu mwanamke,na kumtetea huyo jamaa.
 
Kuna watu wengine misimamo yao walishaazimia kutokuwa na mtoto nje. Labda yy binafsi kaamua kutomtambua tu.
Ingawa kukataa mtoto ndio kiukweli ni mbaya. Kingine akimkubali mtoto basi akubali kupoteza ndoa yake. Nae hayuko tayari kwa hilo.
Huyo hayupo miongoni mwa wenye misimamo ya kutokuzaa nje.wenye misimamo hiyo inatarajiwa wasifanye ngono na wasio wake zao au wawe consistent condom users.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…