Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

Ni vipi kuhusu huyo dada ako kuzaa na MWANAUME mwingine[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo haina shida kabisa akifika miaka mitano kuendelea atarudisha mawasiliano na wakati huo anaweza mwambia mkewebmaana itaonekana alikosea siku nyingi lkn sasa hivi akimwambia mkewe ana mtoto nje balaa lake litakuwa halitoshi.
 
Mwanamke usizae kama huna utayari wa kuwa mama na usizae ukiwa hauna uwezo wa kumtunza mtoto wako mwenyew..
Nyie wanawake mnaangalia uliyekuwa naye pesa zipo.
 
Sahihi Kabisaa Bora bamia na ugali Ila nna watoto
Ila huyo dada angejiwekeza amteme apate mtoto maana huyo kuzaa nae ishakua ngumu Tena,watoto hawatapata kujua ndugu,hakuna kitu kizuri km mtoto ajue ndugu wa baba na mama haijalishi muwe pamoja au mmeachana,masuala ya kufichwa kama Mtoto yanamuumiza sanaa mtoto
Huyo hajaamua akiamua anamtema anazaa baasi hata katoto kamoja
 
Anampenda sana jamaa yake.
Hawezi kumcheat.
Na furaha yake azae na jamaa si mwingine.
Ana imani iko siku jamaa atakubi mwenyewe na si kutegesha.
[emoji38]hiyo Kali anajipa moyo ye Kama vipi ajilipue tu Ila akubalu kusafa kwensekwensii huko mbeleni
 
Ni sahihi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika kama umeoa vinginevyo hilo swali namba mbili usingejiuliza?
 
Kama alishaambiwa Kila kitu mapema bas kaka wa watu hana shida, dadaako atulie tu alee mwanae, hayo maswala ya mjomba yatajulikana mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…