Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

Kuna waliosubiri, wametunza zao weeeee wakapata wachumba wakaoana, wamepata watoto....yanaibuka mambo ya ajabu ajabu ya kutokuelewana baina ya wanandoa hao hadi kupelekea kitalikiana / kitengana au baba kuitelekeza familia. Maisha lazima yaendelee akaze amlee mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mama yangu mkubwa ana mkasa kama huu,lakini amini nakwambia Kuna Watu walimpenda Kwa dhati dada Yako, akachomoa...wanawake ndo walivyo..
 
Sawa lakin sio zetu izo pesa
Ndiyo siyo zenu lakini mnataka kuzimiliki kwa kutumia kigezo cha kuzaa ili mpate huduma bora! laiti mgejua mnazaa na mume wa mtu wakati huyo.ume ana watoto wengi sana, inatarajia kukupa matunzo ya mtoto wakati yeye mwenyewe ana mtoto kibao lazima atakutelekezea mtoto tu.
 
Sawasawa
 
Wewe hutaki maisha mazuri?
 
Kwani wewe huko nje huto... Mbi dada wa watu
 
Tatizo la wanawake huwa wanajibebesha mimba ili kumteka mume wa mtu, huwa wanazaa ili na wao waingie kwenye mgao wa mali na wanakua wanaamini kwamba mume yule atahamisha mapenzi kutoka kwa mkewe kwenda kwake ili mke achoke aolewe yeye. Wanawake kama nyinyi mpo na mnasoma hapa mfe!
 
Ndo mama zetu, dada zetu, rafiki zetu, watoto wetu[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzaa na mume wa mtu nikumnyima mtoto haki zake za msingi hasa kuwa karibu na baba yake.lakin ameshafanya makosa imetokea asijali asonge mbele amleee mtoto wake.atafakari watoto wangapi wamezaliwa na hawajakuta wazaz
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kama ni kweli huyo jamaa sio mngwana ndio mana mnaambiwa waambien dada zenu wazae na WACHAGA tu kwasababu wanaume wakichaga hawaachi damu Yao hata siku Moja Tena hata kumuiba mtoto Huwa wanaiba sasa ww unazaa na WAHAYA
 
Mbona simple tu! Kwanza kabisa mpongeze kuamua kuzaa. Angeua, basi. Ila kama ana ujasili huo, huyo mwanamke. Bora aliezaa kuliko alietoa. Pili,aliempa mimba alivokuwa akifanya alijua anakojoa maji? Kikubwa mtoto ajue kwao. Mwana kulitafutwa, mwana kuliget. Kwanza hapo namtahadhalisha bwana mkubwa kuhakikisha anamtunza mtoto, mkewe atamwambia mwenyewe. Mdogo wako keshakosea,labda alikuwa anadanganywa kwa chipsi kuku na kujiona anapendwa. Sasa jiulize watoto laki moja wa dizaini hiyo, hawajui kwao, hawawajui ndugu zao, unadhani wanatengeneza kizazi gani? Nadhani kuchepuka wakati mwingine ni kipimo cha uvumilivu wa mkeo. Mwanamke asieweza kumkubali mtoto wangu, sijui itakuwaje! Ila ikiwa ni mimi, nasima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…