Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

hainiumi inawezekana pia si mwanamke... we elewa tu hivyo hata kama na wewe ni mwanamke ujue inawezekana akili zako ni kama za dada wa jamaa hapo.
Wenzetu mna mama na dada wa ajabu. Haya poleni...ndo ushazaliwa na mama mjinga, you can do nothing
 
mtu anakuambia usimletee habari za mimba, mean kwamba hana malengo na wewe na still bado unaenda kumpanulia miguu[emoji848]

Dah! nikiitwa mwanamke napigana, na nitapiga mtu sio kwa sababu sipendi hiyo jinsia ila tu sipendezwi na akili zao.
Hii jinsia mkuu[emoji119]
 
Kiufupi dada yako apambane na hali yake. Alijua ni mume wa mtu akaendelea nae, akapewa warning asizae kiherehere chake akabeba mimba.
Huyo mjamaa hana kosa lolote.
Sure thing mkuuu [emoji1666]
 
Acha zako
Huyo ni dada yako anakujibu hivyo? Seriously [emoji849].
Dada yako wa tumbo moja?
Ni mtoto wa ma mdogo,,hata angekuwa tumbo moja wanawake ndo wale wale mkuu,,mama ang ashawahi kunichana "Sisi wanawake tunamatatizo" akimaaninisha hata dada zang niwanawake pia niishi nao kwa akili achana na hawa wanawake wa duniani.
 
Ni mtoto wa ma mdogo,,hata angekuwa tumbo moja wanawake ndo wale wale mkuu,,mama ang ashawahi kunichana "Sisi wanawake tunamatatizo" akimaaninisha hata dada zang niwanawake pia niishi nao kwa akili achana na hawa wanawake wa duniani.
Wanawake ndivyo walivyo kivipi yaani? Mie siwezi kumwambia kaka yangu hivyo au ndugu yangu yoyote yule, labda shosti wangu tu
 
Wanawake ndivyo walivyo kivipi yaani? Mie siwezi kumwambia kaka yangu hivyo au ndugu yangu yoyote yule, labda shosti wangu tu
Ni dada ang lakini pia ni rafiki ang sana,,yani tuna urafiki nje ya undugu kiasi kwamba tunashirikishana izo changamoto za mahusiano ndo maana akawaacha wote me ndo akanipa mkanda mzima,,We are friends.
Kama binadam na kama mwanamke ana mapungufu mengi sana na mimi huwa namshauri sana kuhusu mienendo yake anasemaga tu sawa lakini habadiriki,,all in all she is my sister, i love her kivyovyote alivyo na ntamsupport kadri niwezavyo.
 
Eeh tatizo ni la wazazi pia wajinga. Wee mzazi mtoto wako anagegeda warembo huko nje unakenua meno tuu. Upuuzi huo. Mzazi unapaswa kulinda heshima la jina lako ata kwa kumwaga damu. Mtoto wako anazini wee unamuangalia tuu, sijui anakuwa mqizi unacheka tuu. Hao ni kukamata na kuchinja tuu. Aisee bahati mbaya tuu siwezi zalisha ila mie watoto wangu wangukuwa wamenyoka vilivyo. Hapana lea upuuzi. Mtoto wako anakuja kuzalia kwako wee unaangalia tuu.loh!
Huwezi zalisha mkuu [emoji1787] masihara yako au kweli
 
Wanaume marijali ambao bado hatujaoa tupo wengi Sana huku nje, ila nyie wanawake mnaamua kukurupukia waume za wenzenu na mkishazinguliwa huko mnakimbia humu kuomba ushauri.Nkt!

Huyu Wala tusimshauri chochote especially sisi wanaume.Acha apambane tu na Hali Yake mwenyewe maana Mwana kulitafuta Mwana kulipata.
 
Back
Top Bottom