Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Nilicheka Sana jamaa alivyokuwa analalamika....

Mayombi umenito...... Mke wangu Mayombi. Jamaa anamgeukia mke piga konde' jamaa zembe kashindwa hata kumrushia Mayombe konzi.
Video iko wapi?
 
Mzee wangu Mshana nitupie PM kwanza ndio niichambue vizuri maada husika
 
Wanaume marafiki sijui kwanini huwa natembea ya kuwachukulia wenzao wanawake?
Ni pepo la ngono tu si kingine, kwanza ni kuongeza uadui na kumharibia future huyo mwanamke mana hata kumuoa huyo mayombi hawezi
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
 
Kamlamba makofi na ngumi za kutosha
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
Ndiyo mjifunze. She wako aki'mess up dai fidia uikule. Ila penzi lenu lisikufe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kimasikhara ndio ishaliwa hiyo, alafu mbaya zaidi labda Mayombe alipawa jicho pia 😁😁😁😁😁 betting sio nzuri jamani... πŸ˜‚
 
Ndiyo mjifunze. She wako aki'mess up dai fidia uikule. Ila penzi lenu lisikufe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Hayo atayaweza huyo jamaa. Mimi kwa kweli hapana.

Hebu fungua kofuli ulilojifungia PM.
 
Nilicheka Sana jamaa alivyokuwa analalamika....

Mayombi umenito...... Mke wangu Mayombi. Jamaa anamgeukia mke piga konde' jamaa zembe kashindwa hata kumrushia Mayombe konzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah nilipitwaje sasa cc, hebu nirushie hyo clip lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…