Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Siku hizi wanawake walio olewa ni kawaida sana kuliwa, tena bila hata kutumia nguvu ni kama unashuka mlima kitonga
 
Clip or link to clip plz ...ili nicomment vzur......mwenye nayo tafadhal..
 
Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa zao la mpunga katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani humo, Mayombi Mwela akiwa chumbani akichepuka na mke wake.

Katika video inayosambaa mitandaoni inamwonyesha Issa Kasili akimlaumu rafiki yake huyo kwa kuzini na mkewe....

"Umeni *****... mke wangu Mayombi? Umeni *****... mke wangu Mayombi? Mwishowe umetimiza ahadi yako?

Akimdhibiti mkewe, Kasili amesema amezaa naye mtoto mmoja hivyo kuanzia sasa hataki ndoa naye tena ambapo mara baada ya kumfumania alimpiga faini ya shilingi milioni 5 rafiki yake huyo.

TunArudi palepale...

Msioe.

#YNWA
 
Mshana Jr Labda tujiulize why mpaka mdada aliamua kumvulia chupi bwana Mayombi?
Kuna nguvu ya pembeni ilitumika hasa
1. Matamanio
2. Ahadi kemkem
3. Shekeli tasilimu
4. Kumkomoa mine
5. Kulipa kissing
Nknk
 
-5958415483181053358_121.jpg
-5958415483181053357_121.jpg
-5958415483181053356_121.jpg


#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
Back
Top Bottom