Amin usiamini Africa Mara zote Raisi na Makamu wake huwa haziivi

Amin usiamini Africa Mara zote Raisi na Makamu wake huwa haziivi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha.

Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri.

Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani.

Tanzania makamu wa Raisi huteuliwa kwa kuangalia uisilamu, ukiristo. Utanganyika na uzanzibar.

Mambo mengine ni ya ziada. Mara zote Raisi huwa na maamuzi ambayo Makamu haiwezi kupinga Kwa namna yeyote Ile.

Tanzania tamko la waziri Lina nguvu kuliko maka wa Raisi. Naamini hata ushauri wa Makamu Kwa raisi ni negligible.

Namwagalia DK Mpango alifanyaje kipindi akiwa waziri wa fedha ambacho Sasa hawezi kufanya mambo ya tozo yakaisha.

Samia alivumila vipi kutovaa barakoa kipindi cha magu ambapo Sasa anavaa.

Sitaki kumtaja DK omari juma. Ruto na wengine.

KATIBA MAHUSUSI NDIYO NGUXO YA MAENDELEO KWA TAIFA LOLOTE LILE.
 
Kwa Tanzania rais huchaguliwa makamu, kilichotokea Kenya na kinachoendelea kutokea ni mgombea urais kuangalia ni nani anaweza kumvusha ktk harakati za kupata urais baada ya hapo nikumtrash 🚮 msaidizi wake ambaye ni makamu maana baada ya hapo anaweza kuwa adui kwa sababu endapo Rais atakufa yeye makamu anatakiwa achukue nafasi kwahiyo lazima umgeuze kuwa adui kabla yeye ajakugeuza kuwa adui.
Kifupi kwa Afrika Rais na Makamu wanawindana.
 
Exactly
 
Back
Top Bottom