Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

Mimi naamini wanawake wanatakiwa wachezeshe ligi yao.
Ni sawa ila kamudu Ile game kuliko hata wanaume aliyezingua alikuwa malogo ila huyu kafanya vizuri sana kama umeangalia mchezo kaamua vizuri sana kwa dk zote hata 9 zilizoongezwa ilikuwa halali kabisa
 
Refa kaboronga sana
Ile penati ilipaswa kurudiwa mchezaji yule wakati penati inapigwa alienda kufanya nini pale kwenye box? Wakati mstari wa wengine bado haujatoka?

Ingawa penati ilikuwa goli ila wavu ulitoboka ule mpira ukaonekana kama umetoka nje

Halafu mechi muhimu kama hii why refa mwanamke?
Hawa waende ligi ya wanawake huko.
 
Awali ya yote kwenye, mpira marefaree, makosa yapo tu, duniani kote. Lakini sasa mfumo wetu wa ligi naona sio mzuri kwenye jambo, la timu kushuka daraja, kupitia njia playoff haiwezekani timu, ipiganie nafasi ile ile, na imetoka kutolewa inakuja kutafuta nafasi ile ile tena, kutoka kwenye ligi mpaka plaoff. Mfumo huu hukuti ligi zilizoendelea.
 
Refa mpuuzi kuliko maelezo, penati ya kijinga mno, goli linafungwa anasema kona yaani vululuvululu
Hukumwelewa.

Pale alikua anawaelekeza kua..... Nmeona, mpira umepita hapo konani Ndani ya goli, ukaenda nje.

Ule mkono amenyoosha hakuna anamaanisha ni Kona.

Pili, Penati ni ya haki na kweli..Hajaonea.
 
Awali ya yote kwenye, mpira marefaree, makosa yapo tu, duniani kote. Lakini sasa mfumo wetu wa ligi naona sio mzuri kwenye jambo, la timu kushuka daraja, kupitia njia playoff haiwezekani timu, ipiganie nafasi ile ile, na imetoka kutolewa inakuja kutafuta nafasi ile ile tena, kutoka kwenye ligi mpaka plaoff. Mfumo huu hukuti ligi zilizoendel
Ndugu huu mfumo unatumika kwa watala wetu wa kwanza Germany(Bundesliga)

NB: Kama mashujaa waliumudu na sisi Biashara tunapita humohumo
 
Ndugu huu mfumo unatumika kwa watala wetu wa kwanza Germany(Bundesliga)

NB: Kama mashujaa waliumudu na sisi Biashara tunapita humohumo
Ni tofauti na ligi yetu na ule wa germany, make ule wa ujeruman timu ile ya tatu mwisho yaani timu bundesliga sipo kumi nane18. hizi 18&17 wanashuka moja kwa moja. Kumi nasita16. ndo inacheza playoff na timu ya tatu3 kutoka bundesliga2. Mshindi wa hapa hupanda ligi kuu moja kwa moja mwingine kushuka alifungwa?! Tofauti na kwetu haiwekani tabora utd & jkt walicheza mech playoff kuhusika kupanda na tabora, akatolewa "alafu yuleyule tabora utd bado anatafuta nafasi kupanda ligi kuu huu mfumu kunanchi ina kweli??
 
Refa kaboronga sana
Ile penati ilipaswa kurudiwa mchezaji yule wakati penati inapigwa alienda kufanya nini pale kwenye box? Wakati mstari wa wengine bado haujatoka?

Ingawa penati ilikuwa goli ila wavu ulitoboka ule mpira ukaonekana kama umetoka nje

Halafu mechi muhimu kama hii why refa mwanamke?
Hawa waende ligi ya wanawake huko.
Kwa tension ya game, ingekuwa ngumu kurudiwa mkuu. Kajitahidi kuchezesha yule dada jana.
 
Awali ya yote kwenye, mpira marefaree, makosa yapo tu, duniani kote. Lakini sasa mfumo wetu wa ligi naona sio mzuri kwenye jambo, la timu kushuka daraja, kupitia njia playoff haiwezekani timu, ipiganie nafasi ile ile, na imetoka kutolewa inakuja kutafuta nafasi ile ile tena, kutoka kwenye ligi mpaka plaoff. Mfumo huu hukuti ligi zilizoendelea.
Wangefuata ule wa Uingereza ukishuka umeshuka, play off wanacheza wanaopanda toka ligi za chini.
 
Back
Top Bottom