Ni tofauti na ligi yetu na ule wa germany, make ule wa ujeruman timu ile ya tatu mwisho yaani timu bundesliga sipo kumi nane18. hizi 18&17 wanashuka moja kwa moja. Kumi nasita16. ndo inacheza playoff na timu ya tatu3 kutoka bundesliga2. Mshindi wa hapa hupanda ligi kuu moja kwa moja mwingine kushuka alifungwa?! Tofauti na kwetu haiwekani tabora utd & jkt walicheza mech playoff kuhusika kupanda na tabora, akatolewa "alafu yuleyule tabora utd bado anatafuta nafasi kupanda ligi kuu huu mfumu kunanchi ina kweli??