Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Kwa taarifa nilizozipata punde kutoka nchini Thailand ni kwamba Amina Ngaluma amefarki dunia leo hii.

more updates to come.
 
what alikuwa huko anafanyaje? mh polen wafiwa

habari kamili nitaziweka hapa, nalog off kwanza ili nilete taarifa ya kina pia naamini wapo wanajf makini wanaeeza kuja na taarifa kamili kabla sijarudi.

kuna mbulula wanataka kugeuza hili jukwaa la umbea na majungu wakati majukwaa hayo yapo kwingine hapa jf.
 
hata mimi nimesikia kafariki njoo tujuze

Nimekuja
MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
source GBL
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    33.3 KB · Views: 1,336
habari kamili nitaziweka hapa, nalog off kwanza ili nilete taarifa ya kina pia naamini wapo wanajf makini wanaeeza kuja na taarifa kamili kabla sijarudi.

kuna mbulula wanataka kugeuza hili jukwaa la umbea na majungu wakati majukwaa hayo yapo kwingine hapa jf.

Dah!vitu vidogo sana hivi mbona?we fanya yako,kumbuka hapa celebrities forum wenyewe maisha yao ni habari anafatiliwa OBAMA,BEYONCE na wengineo wanaofahamika dunia nzima itakuwa aunty au wolper!!punguza munkari kama we ni mbongo movie chukulia poa kaka vitu vidogo hivi.Samahani kama nimekukwaza
 
R. I . P dada muimbaji wa muziki Amina. So cute jamani. Thailand alifuata nini?
 
R.I.P Amina,mlikimbiza enzi zile Tamtam na Mwinjuma Muumin,Badi Bakule
 
ulikuwa moja ya waimbaji bora kabisa katika muziki wa bendi,hakika mchango wako ni kubwa sana katika tasnia hii ya muziki wa dansi.Daima muziki wa dansi,wadau na wapenzi wa muziki huu tutakukumbuka daima.upumzike kwa amani dada yetu.

Moja ya wimbo mzuri kabisa Amina Ngaluma ni ule uitwao Mapendo alioimba na bendi ya African Revolution wana tamtam katika album ya mgumba
 
Back
Top Bottom