Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwa taarifa nilizozipata punde kutoka nchini Thailand ni kwamba Amina Ngaluma amefarki dunia leo hii.
more updates to come.
more updates to come.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa taarifa nilizozipata punde kutoka nchini Thailand ni kwamba Amina Ngaluma amefarki dunia leo hii.
more updates to come.
what alikuwa huko anafanyaje? mh polen wafiwa
hata mimi nimesikia kafariki njoo tujuze
source GBLMWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
habari kamili nitaziweka hapa, nalog off kwanza ili nilete taarifa ya kina pia naamini wapo wanajf makini wanaeeza kuja na taarifa kamili kabla sijarudi.
kuna mbulula wanataka kugeuza hili jukwaa la umbea na majungu wakati majukwaa hayo yapo kwingine hapa jf.