FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.
Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza sana.
Tunazungumzia Dada poa hawa sababu biashara hii ipo tangu enzi za wafalme, hivyo itaisha polepole na ndio dua langu.
Sijui maoni yenu wanajamiiforums.