Amini usiamini, wadada wanaojiuza wana elimu kubwa juu ya matumizi ya kinga (Kondomu)

Amini usiamini, wadada wanaojiuza wana elimu kubwa juu ya matumizi ya kinga (Kondomu)

Mie kwa komdom jogoo hawiki hivyo huwa nashawishi pekupeku.


Nikifanikiwa kwa ndom huwa sipiz hivyo nalazimika kwenda ovyoovyo mpaka upasuke.


Ova
 
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.

Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza sana.

Tunazungumzia Dada poa hawa sababu biashara hii ipo tangu enzi za wafalme, hivyo itaisha polepole na ndio dua langu.

Sijui maoni yenu wanajamiiforums.
chini kinga, midomo? Vidole? Hatari sana......ni kwa neema tu tunapona!
 
Wengi wanasema hawaridhishwi na wapenzi wao na si pesa hasa wamegawika kimaeneo wa Buguruni na Kwa Wahaya Kigamboni wapo kimaslai zaidi ila wa Posta mpya,Sinza na kinondoni wapo kistarehe zaidi.
Sinza wanakouza mbunye mpaka laki moja wewe unasema hawako kimaslahi? Hawa wa temeke wanaouza buku 3 tutawasemaje?
 
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.

Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza sana.

Tunazungumzia Dada poa hawa sababu biashara hii ipo tangu enzi za wafalme, hivyo itaisha polepole na ndio dua langu.

Sijui maoni yenu wanajamiiforums.

Okay
 
Laki tatu maana yake so njaa Bali ni mchujo kupata wa kumridhisha tu mmoja wawili anasepa au analala nae
 
Yaani Pisi kali unataka Utembelee Limu kweli kazi ipoo.
Hivi unamuaminije Mtoto Mkali anayejiuza? afadhali hata wale wasio na mvuto unaweza kusema huyu kaletwa huku na stress za kukosa kutongozwa.

Unakuta Mtoto mweupe kaiva, umbo matata nyuma anavuta tela....mimi huwa kwanza najiuliza hivi huyu kakosa nini mpaka kuwa hapa?...huyo hata kwa ndom bado simuamini maana nahisi kama yeye ndio ataipasua makusudi.
 
Back
Top Bottom