FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
HahahNgoja nikanunue kwanza nitarudi kutoa mrejesho
Wengi wanasema hawaridhishwi na wapenzi wao na si pesa hasa wamegawika kimaeneo wa Buguruni na Kwa Wahaya Kigamboni wapo kimaslai zaidi ila wa Posta mpya,Sinza na kinondoni wapo kistarehe zaidi.vp ktk huo utafiti wako, hukuweza kugundua au kujua ni kwanini wanaamua kujiuza?
Wengi wanasema hawaridhishwi na wapenzi wao na si pesa hasa wamegawika kimaeneo wa Buguruni na Kwa Wahaya Kigamboni wapo kimaslai zaidi ila wa Posta mpya,Sinza na kinondoni wapo kistarehe zaidi.
Siku hizi ukitaka peku wanakupima,wana HIV test kabisa.Mbona huwa wanasema bila kondomu dau linapanda je hapo inakuwaje
Aaah nyie watu mlijuaje au ndio kichezo yenu hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi ukitaka peku wanakupima,wana HIV test kabisa.
Anajua anakuuzia vitu viwili kwa wakati mmojaMbona huwa wanasema bila kondomu dau linapanda je hapo inakuwaje
Mnunuzi nakuonaSiku hizi ukitaka peku wanakupima,wana HIV test kabisa.
Maendeleo ya technologia. Watafte na syphilis test kabsaa ili watu wasiwe na wasiwasiSiku hizi ukitaka peku wanakupima,wana HIV test kabisa.
Halafu anataka TTCL wamuajiri[emoji23]Mnunuzi nakuona
π π π π πWatafte na syphilis test kabsaa ili watu wasiwe na wasiwasi