Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,016
Mie kwa komdom jogoo hawiki hivyo huwa nashawishi pekupeku.
Nikifanikiwa kwa ndom huwa sipiz hivyo nalazimika kwenda ovyoovyo mpaka upasuke.
Ova
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mie kwa komdom jogoo hawiki hivyo huwa nashawishi pekupeku.
Nikifanikiwa kwa ndom huwa sipiz hivyo nalazimika kwenda ovyoovyo mpaka upasuke.
Ova
chini kinga, midomo? Vidole? Hatari sana......ni kwa neema tu tunapona!Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.
Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza sana.
Tunazungumzia Dada poa hawa sababu biashara hii ipo tangu enzi za wafalme, hivyo itaisha polepole na ndio dua langu.
Sijui maoni yenu wanajamiiforums.
Sinza wanakouza mbunye mpaka laki moja wewe unasema hawako kimaslahi? Hawa wa temeke wanaouza buku 3 tutawasemaje?Wengi wanasema hawaridhishwi na wapenzi wao na si pesa hasa wamegawika kimaeneo wa Buguruni na Kwa Wahaya Kigamboni wapo kimaslai zaidi ila wa Posta mpya,Sinza na kinondoni wapo kistarehe zaidi.
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.
Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza sana.
Tunazungumzia Dada poa hawa sababu biashara hii ipo tangu enzi za wafalme, hivyo itaisha polepole na ndio dua langu.
Sijui maoni yenu wanajamiiforums.
Kanungila huu in utafiti sawa na process mmoja alifanya utafiti juu ya uchawi anatoka udsm akaandika na kitabu.Halafu anataka TTCL wamuajiri[emoji23]
[emoji23][emoji23]Kanungila huu in utafiti sawa na process mmoja alifanya utafiti juu ya uchawi anatoka udsm akaandika na kitabu.
Hivi unamuaminije Mtoto Mkali anayejiuza? afadhali hata wale wasio na mvuto unaweza kusema huyu kaletwa huku na stress za kukosa kutongozwa.Yaani Pisi kali unataka Utembelee Limu kweli kazi ipoo.
vp ktk huo utafiti wako, hukuweza kugundua au kujua ni kwanini wanaamua kujiuza?