Hamjaziona kesi za epa na watu kufungwa?
Hamuoni watu wa unga wanavyokamatwa kila siku?
Chuki zenu ni za kibinafsi na roho zanu zilivyombaya kila mnapoona mafanikio ya Kikwete nyie ndio mnazidi uhasidi. Mtaungulika sana, Kikwete ndio Rais na Mohamed Gharib Bilal ndio makamu wake.
Wewe upimwe akili sio mzima au ndio mama wa tanu
Hivi tujiulize,Raisi asieweza hata kuwakamata na kuhakikisha wauza madawa ya kulevya na wezi wa EPA ndani ya nchi ataweza kweli kuongoza majeshi yetu katika vita dhidi ya taifa lingine?
Wabongo tusithubutu kuingia vitani chini ya Raisi wa sasa.Tutaambulia aibu na kipigo,Amiri jeshi mkuu wa sasa sidhani kama anaweza hata kuhamasisha majeshi yetu na siamini hata wanajeshi wetu wana imani na nae.
Mgogoro baina yetu na Malawi na sasa Rwanda ni bora tu ukaishia kuwa ni wa vita ya maneno tu.
Nina mashaka kama kweli Amiri Jeshi Mkuu wa sasa anaweza hata kuhutubia wanajeshi na kuwapa ujasiri.Ukishaonekana ni dhaifu ndani ya nchi yako hata wanajeshi wanapoteza imani na wewe na kujiona hawana kiongozi anaewafaa.
Tafakari ukiwa "realistic" na sio kishabiki uone utapata jibu gani.
Mkuu!
Usichanganye siasa na masuala ya ulinzi wa nchi.
Hayo mambo ya EPA,dawa za kulevya yako kisiasa zaidi,ambapo yote hayo
yamezunguzwa sana.
Logical ni bora watu wetu wakaangamia taratibu kwa tamaa zao za kutumia
dawa za kulevya,kuliko nchi kuvamiwa na watu kuuliwa hovyo hovyo kila mahali.
Ni vema tusiingilie kabisa masuala ya operations za kijeshi au kutumika kuwavunja
nguvu wapiganaji wetu kupitia siasa.
Kusema kweli kuna walakini kwa Rais wetu, mpaka Kagame kamtukana hivyo ujue kaona udhaifu. Na hili si jambo dogo, embu fikiria Rais wetu ana rasilmali ardhi, watu zaidi ya 45ml, kodi inayokusanywa kubwa lakini anashindwa kucheza na hizo rasilmali, anakwenda kuchezewa na mtu ana raslimali kidogo sana! Kagame aliwahi sema mimi nikipewa bandari tu ya Dar naweza kulisha TZ, lakini yeye hata ile kumpongeza Mwakyembe hamna! Magufuli,hamna!. Mkapa alilipa deni lote huku akijenga barabara yeye kalirudisha 20trn sa sijui ndo zinajenga barabara! Anasikitisha sana!nchi haina hata shughuli za uzalishaji zinazoeleweka wala mpango wa kuwa nazo! utapigana vita na mauzo ya mazao tena ya wakulima maskini! na hana wasiwasi anacheka tu!
umetumwa na kagame utingishe kibiriti, kamwambie umefeli
Tatizo lako hujuwi maana ya EPA ni nini, kwanini wafungwe kama hawana dhambi? unanchekesha.
Hamjaziona kesi za epa na watu kufungwa?
Hamuoni watu wa unga wanavyokamatwa kila siku?
Chuki zenu ni za kibinafsi na roho zanu zilivyombaya kila mnapoona mafanikio ya Kikwete nyie ndio mnazidi uhasidi. Mtaungulika sana, Kikwete ndio Rais na Mohamed Gharib Bilal ndio makamu wake.
Hamjaziona kesi za epa na watu kufungwa?
Hamuoni watu wa unga wanavyokamatwa kila siku?
Chuki zenu ni za kibinafsi na roho zanu zilivyombaya kila mnapoona mafanikio ya Kikwete nyie ndio mnazidi uhasidi. Mtaungulika sana, Kikwete ndio Rais na Mohamed Gharib Bilal ndio makamu wake.
Hamjaziona kesi za epa na watu kufungwa?
Hamuoni watu wa unga wanavyokamatwa kila siku?
Chuki zenu ni za kibinafsi na roho zanu zilivyombaya kila mnapoona mafanikio ya Kikwete nyie ndio mnazidi uhasidi. Mtaungulika sana, Kikwete ndio Rais na Mohamed Gharib Bilal ndio makamu wake.
Huwa wanawakata Tz? Waache b'ness eti kuna watu wanashinikiza wakamatwe!! Jaribu kukamata b'ness ya mzee kama kibarua hakijaota nyasi; watoto wakose karo buree eti kuna watu wanaathirika. Rais anawajua eti ntawataja. Hivi kati ya Kamishina aliekabidhiwa majina juzi na Rais nani muajiri wa mwenzie? Then tafakari chukua hatua.
wapi, kagoda?, wapi Deep green, ?
Kweli wanakamwata kila siku,south africa,china,taiwan brazil kikwete anajitaidi sana watu hawaoni tuu.