Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

Hivi korodani mnazijua jamani!! Nimesisimka hapa balaa....Sijui nifanyeje?
 
Attachments

  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    5.6 KB · Views: 19
Dunia ya Leo kuishi na mwanamke chumba kimoja ni Sawa na kukumbatia mtungi wa gesi unaovuja huku jiko linawaka.

90% ya vurugu za hapa duniani zinasababishwa na mwanamke.

Ni kweli. Japo wakati mwingine hata sisi wanaume huwakosea sana wanawake zetu, kwa kuwavunjia heshima ila inasikitisha sana.[emoji17]
 
Inasaidia,Mwanamke wa siku hizi anawaza kudhuru Mashine tu maana ndio ana kesi nayo,mpaka sasa ndani ya week tatu kesi zinazoripotiwa ni mashine kuumizwa
Ka mashine kenyewe kibamia nikikatwa nibaki sina kitu
Hahahaaa. Lol
 
Dunia ya Leo kuishi na mwanamke chumba kimoja ni Sawa na kukumbatia mtungi wa gesi unaovuja huku jiko linawaka.

90% ya vurugu za hapa duniani zinasababishwa na mwanamke.

hahahahaha inabidi mkimaliza kugegedana uondoke na kwenda kulala unapojua mwenyewe....maana akijua unapolala anaweza hata kuchoma nyumba...
 
Hivi kwa nini mwanaume anapohojiwa na wasiojulikana huminywa korodani ili ajibu kiufasaha maswali ya hao watu?

Nadhani huyu mke alikuwa anahoji kitu kwa mumewe na lapokosa ushirikiano wa kutosha akatumia hiyo mbinu ya tiss....... 😂😂
 
hahahahaha inabidi mkimaliza kugegedana uondoke na kwenda kulala unapojua mwenyewe....maana akijua unapolala anaweza hata kuchoma nyumba...
Baada ya kuwabana kwenye kutuchoma na petrol sasa wameanza kunyofoa korodani.
 
Ni kweli. Japo wakati mwingine hata sisi wanaume huwakosea sana wanawake zetu, kwa kuwavunjia heshima ila inasikitisha sana.[emoji17]
Hiyo heshima kama kuvunja utavunja na mwanamke ambaye atasababisha vurugu kwenye ndoa yako.

Tunarudi pale pale kwamba vurugu nyingi za duniani huletwa na m mwanamke.
 
Back
Top Bottom