Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

huyo alilalaje kizembe hivo? unalalaje umeachama mapaja na pumbu juu, mwanaume lala kiubavu au lalia tumbo, mpaka aje akugeuze azikate tiyari ushashtuka.
Mwamba Kiongozi.

Siyo rahisi kama unavyofikiria, Usingizi hauna maana hata kidogo.

Unalala kichali chali ukiamka asubuhi unajikuta umelalia ubavu
 
Back
Top Bottom