Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara


Ulivyomalizia tu hapo chini
Inaonyesha ni very unprofessional.
 
Ulivyomalizia tu hapo chini
Inaonyesha ni very unprofessional.
Dada ni aibu yaani hakuna kitu hapa mtoa mada anajikuta much know tu mambo ya mifumo ya fweza ishazungumziwa sana jukwaani kikubwa tungetemea atoe connection za michongo kumbe hamna kitu...aibu dada aibu
 
Dada ni aibu yaani hakuna kitu hapa mtoa mada anajikuta much know tu mambo ya mifumo ya fweza ishazungumziwa sana jukwaani kikubwa tungetemea atoe connection za michongo kumbe hamna kitu...aibu dada aibu

Anafikiri kula hela ya mtu ni kirahisi hivyo
 
Nakaribia kukuelewa unacho maanisha naanza kuamini pesa ni mfumo tena ina masharti makali ambayo yanatakiwa yafatwe zaid ya amri za kijeshi
 
Ndiyo tunaelewa ni mfumo so what's next?
Hamna kitu hapa wewe ungekuwa vizuri usingetaka mtu akufuate mmoja mmoja ungeyasema hapa
Wewe ni motiveshono spika tuu
 
Nakipata mwamba komaa. Yaani sio big deal Sana kupata pesa Ni ishu ndogo mno mtu unafanya unazipata
 
Kaka poromosha madini basi usiwe mchoyo uwo mfumo tudadavulie kidogo
 
Mimi nimemwelewa kidogo huyu jamaa system hacker , ni kwamba mfano tuchukulie unafungua duka la spare za gari kisha unahamua kuwa na mfumo wa mafundi garage wote wa eneo lako linalokuzunguka unahakikisha umejenga nao ukaribu kisha wakiwa wanaitaji spare unawaapelekea kwa bodaboda yako, huu unakuwa mfumo wako na automatic pesa itaanza kuflow kwako, ni hayo tuuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…