Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

Umewahi kujiuliza, hv inakuaje unapata fedha halafu unafilisika? Kwani zimekwenda wapi?

Umewahi kujiuliza kuhusu midororo mbalimbali ya kiuchumi Duniani ama kwenye nchi husika?

Umewahi kujiuliza hv inakuaje mzunguko wa fedha unakuwa mgumu kwa nyakati fulani na rahisi kwa nyakati fulani?

Ni mfumo wa fedha ndio kisababishi cha hayo yote.

Nataka niseme ki ufupi kabisa. Mfumo wa fedha unaamua wewe ufilisike ama usifilisike. Wewe uwe tajiri ama usiwe tajiri uliyechoka?

Yaani kuna mifumo ya fedha ambayo kuwa na fedha ni lazima uwe unataka ama hutaki. Yaani kuwa na fedha si hiyari yako bali ni lazima kwa sababu mfumo umetaka uwe hivyo.

Wasiliana nami kwa upole na unyenyekevu nikusaidie mfumo ambao utakulazimisha wewe kuwa na fedha hata kama hutaki. Cha muhimu uwe na biashara na ufuate maelekezo yangu ya sayansi ki mfumo wa fedha. Fedha ni mfumo.

Acha kutaabika vihela vidogo vidogo wewe. Usidanganyike eti hela ngumu. Mbona wengine wanazitumbua? Kwani kwako ndo iwe ngumu?

Nipo pale nimekaa - 0653 537509.

- Imeisha hiyo -

Jukwaa nawaachia JF stress team waendelee kuharisha kwenye uzi!

bye!

Ulivyomalizia tu hapo chini
Inaonyesha ni very unprofessional.
 
Ulivyomalizia tu hapo chini
Inaonyesha ni very unprofessional.
Dada ni aibu yaani hakuna kitu hapa mtoa mada anajikuta much know tu mambo ya mifumo ya fweza ishazungumziwa sana jukwaani kikubwa tungetemea atoe connection za michongo kumbe hamna kitu...aibu dada aibu
 
Anafikiri kula hela ya mtu ni kirahisi hivyo
 
Watu wengi bongo wana business ideas kali na zenye mantiki kabisa lakini kamwe hazitoboi. Why?

Sababu wengi wanachanganya business ideas na business models.

Hakuna business idea yeyote inayoweza kushawishi flow of money isipokuwa business model pekee. Kwa nini?

Kwa sababu fedha ni mfumo fedha ni model sio ideas.
Nakaribia kukuelewa unacho maanisha naanza kuamini pesa ni mfumo tena ina masharti makali ambayo yanatakiwa yafatwe zaid ya amri za kijeshi
 
Ndiyo tunaelewa ni mfumo so what's next?
Hamna kitu hapa wewe ungekuwa vizuri usingetaka mtu akufuate mmoja mmoja ungeyasema hapa
Wewe ni motiveshono spika tuu
 
Fedha ni karatasi za kawaida kabisa Serikali ina print na kuita fedha. Wala si mali asili kwamba nchi moja imebarikiwa na nchi nyingine haijabarikiwa.

Ni karatasi kabisa zilizonakishiwa then zikapewa kiki na watu wakawa brainwashed kuwa ni bonge la dili....wakati muda huo huo kuna watu wanazitumia km watakavyo na wengine wanazitaabikia hata wanakufuru Muumba wao.

Lengo lake kubwa ni kuwa medium of exchange nothing more.

Tupo kwenye nyakati ambazo km huna fedha hata penzi hupati. Kwenu ulikozaliwa unaonekana ni snitch tu huna lolote. Washkaji wanakukwepa huna issue. Hahahahaha

Nipo pale nimekaa nawaambia fedha ni mfumo amkeni msijidanganye. Naelewa mamilioni ya watu hawatanielewa nini nachoongea hapa sababu naongea vitu ambavyo you have to be so enlightened ili uelewa. Ukiwa wa kawaida kawaida huwezi kamwe kunielewa utaishia kunishushia zigo la stress zako za kutokuwa na hela!
Nakipata mwamba komaa. Yaani sio big deal Sana kupata pesa Ni ishu ndogo mno mtu unafanya unazipata
 
Umewahi kujiuliza, hv inakuaje unapata fedha halafu unafilisika? Kwani zimekwenda wapi?

Umewahi kujiuliza kuhusu midororo mbalimbali ya kiuchumi Duniani ama kwenye nchi husika?

Umewahi kujiuliza hv inakuaje mzunguko wa fedha unakuwa mgumu kwa nyakati fulani na rahisi kwa nyakati fulani?

Ni mfumo wa fedha ndio kisababishi cha hayo yote.

Nataka niseme ki ufupi kabisa. Mfumo wa fedha unaamua wewe ufilisike ama usifilisike. Wewe uwe tajiri ama usiwe tajiri uliyechoka?

Yaani kuna mifumo ya fedha ambayo kuwa na fedha ni lazima uwe unataka ama hutaki. Yaani kuwa na fedha si hiyari yako bali ni lazima kwa sababu mfumo umetaka uwe hivyo.

Wasiliana nami kwa upole na unyenyekevu nikusaidie mfumo ambao utakulazimisha wewe kuwa na fedha hata kama hutaki. Cha muhimu uwe na biashara na ufuate maelekezo yangu ya sayansi ki mfumo wa fedha. Fedha ni mfumo.

Acha kutaabika vihela vidogo vidogo wewe. Usidanganyike eti hela ngumu. Mbona wengine wanazitumbua? Kwani kwako ndo iwe ngumu?

Nipo pale nimekaa - 0653 537509.

- Imeisha hiyo -

Jukwaa nawaachia JF stress team waendelee kuharisha kwenye uzi!

bye!
Kaka poromosha madini basi usiwe mchoyo uwo mfumo tudadavulie kidogo
 
Mimi nimemwelewa kidogo huyu jamaa system hacker , ni kwamba mfano tuchukulie unafungua duka la spare za gari kisha unahamua kuwa na mfumo wa mafundi garage wote wa eneo lako linalokuzunguka unahakikisha umejenga nao ukaribu kisha wakiwa wanaitaji spare unawaapelekea kwa bodaboda yako, huu unakuwa mfumo wako na automatic pesa itaanza kuflow kwako, ni hayo tuuu
 
20221224_101204_0000.png
 
Back
Top Bottom