Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Acha kutumia maandiko kutetea uovu.

Warumi : Mlango 13
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Kwani alichoandika ni uongo? Au, je hayo si maneno ya Biblia Takatifu? Kwani Magufuli haonei Watanzania? Kwanini kila anayemchalenji anapata misukosuko?
 
Endeleo lipi alilofanya Magufuli alafu umasikini umeongezeka kama huamini asubuhi toka hata nje alafu simama barabarani uone watu wanavyoteseka. Have a sympathy to others my country man.
Eti sheria zote zifutwe. Wakati hizo sheria hazipo je zilitusaidia kuleta maendeleo kama haya yanayofanywa na serikali ya JPM. Tena nashauri ziongezwe sheria na zipewe ukali zaidi ili wapuuzi wachache kama waliomzushia kifo Mh. Rais wakamatwe vinzuri na kupewa adhabu kali. Ni ujinga kuendekeza the so called uhuru usiokuwa na mipaka.
 
Oumuamua,
Hufahamu maana ya Police State. Hawa hawa AI wako wapi wakati nchi tajiri zinavyozinyonya nchi masikini utajiri wao? Hakuna uhuru usio na mipaka, hata nyumbani kwenu unakolala kuna mipaka yake.
 
Hufahamu maana ya Police State. Hawa hawa AI wako wapi wakati nchi tajiri zinavyozinyonya nchi masikini utajiri wao? Hakuna uhuru usio na mipaka, hata nyumbani kwenu unakolala kuna mipaka yake.
Unajua huu mwezi nimetukana sana watu humu, I feel guilty. Please, acha kunichefua. By the way unaongelea uhuru gani? Uhuru wa kuvizia watu, na kuwafanyia enforced disappearance, abduction, torture, extra judicial killings, trumped charges?
 
Sijawahi kusikia watuhumiwa wakiachiwa kwa amri ya Amnesty International.

Hao ni mabeberu tu. Marekani wanahifadhi watu Guantanamo Bay hakuna kauli yoyote.
Kila nchi ina sheria zake na lazima zifuatwe.
 
Maboso,
Eti sheria zote zifutwe. Wakati hizo sheria hazipo je zilitusaidia kuleta

Tena nashauri ziongezwe sheria na zipewe ukali zaidi
Hivi ukila ukashiba na ukavaa vizuri tuu lkn huko gerezani inakusaidia nini?
 
Kama raia ukiona anapingana na report hiyo kuna mawili. Moja ni kuwa ni zuzu haelewi hata alisemalo au hiyo ripoti inasemaje au pili, ni mnufaika na serikali kwa hayo itendayo.
Unapaswa kujiuliza kwa nini lawama hizo na humu ndani zinalalamikiwa?
Ukweli kabisa
 
When they killed Sadam Hussein they said it was wrong because finally they did not find any nuclear weapons, when they killed Gadaffi they said it was a wrong decision etc.They saw what was happening in Rwanda and Burundi they kept quiet,They see what is happening in Congo DRC ,they keep quiet ,they are enjoying what is happening in Syria!
 
Masheikh wa Uamsho wapo ndani zaidi ya miaka 5 bila ya dhamana, kosa lao ni kudai haki ya Muungano Zanzibar.
Eti wanaitwa magaidi, hili nalo?
 
AI na HRW, wametoa taarifa yao wakiwa na mtazamo wa haki na uhuru wa kimagharibi, wameshindwa kuchambua uhuru huo na haki hzo katka mazingira ya kitanzania,

Hakuna uhuru popote dunia usiokuwa na mipaka wala hakuna haki bila wajibu, hiv kungekuwa hakuna uhuru, wao wangeweza kutoa hyo taarifa? Wangeweza kusema kuwa nchi haina uhuru na haki? Wanataka uhuru upi? Wakumtukana rais, kuingia barabarani kwa maandamano kila siku, kusema tz kuna ebora wakat hakuna? Kunawakati huwa nakubaliana nwa watu kuwa nchi za wazungu zinataka kututawara kwa fimbo ya umasikini wetu,


Tunao uhuru ambao unasadifu mazingira yetu, ulio na mlinganyo sahili kwenye mazingira sahihi kutengemeana na mila na desturi zetu... tutafika huko ila kwa nidham na adabu, mbona huo uhuru hawaupeleki Urusi,? au China? Wajipange upya, Rais ashikilie hapo hapo, akilegeza tu...
 
Nasikia economic embargoes uwa ni suluhu wakati mwingine na wakati mwingine ni balaa hasa kwa walala hoi kama mie hapa.
 
Back
Top Bottom