Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kabendera na Zitto tuliambiwa wanatumika na Mabeberu kuchafua amani ya nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uovu gani wamefanya hao watajwa?Acha kutumia maandiko kutetea uovu.
Warumi : Mlango 13
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Hakuna aliyetaka Uhuru bila MipakaHakuna uhuru usio na mipaka!
Mungu wabariki wazungu
Kwani alichoandika ni uongo? Au, je hayo si maneno ya Biblia Takatifu? Kwani Magufuli haonei Watanzania? Kwanini kila anayemchalenji anapata misukosuko?Acha kutumia maandiko kutetea uovu.
Warumi : Mlango 13
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Eti sheria zote zifutwe. Wakati hizo sheria hazipo je zilitusaidia kuleta maendeleo kama haya yanayofanywa na serikali ya JPM. Tena nashauri ziongezwe sheria na zipewe ukali zaidi ili wapuuzi wachache kama waliomzushia kifo Mh. Rais wakamatwe vinzuri na kupewa adhabu kali. Ni ujinga kuendekeza the so called uhuru usiokuwa na mipaka.
Unajua huu mwezi nimetukana sana watu humu, I feel guilty. Please, acha kunichefua. By the way unaongelea uhuru gani? Uhuru wa kuvizia watu, na kuwafanyia enforced disappearance, abduction, torture, extra judicial killings, trumped charges?Hufahamu maana ya Police State. Hawa hawa AI wako wapi wakati nchi tajiri zinavyozinyonya nchi masikini utajiri wao? Hakuna uhuru usio na mipaka, hata nyumbani kwenu unakolala kuna mipaka yake.
Ukweli kabisaKama raia ukiona anapingana na report hiyo kuna mawili. Moja ni kuwa ni zuzu haelewi hata alisemalo au hiyo ripoti inasemaje au pili, ni mnufaika na serikali kwa hayo itendayo.
Unapaswa kujiuliza kwa nini lawama hizo na humu ndani zinalalamikiwa?
Nani kauliwa?