Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 191
Akili ndogo huwezi elewaZero brain za vibaraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo huwezi elewaZero brain za vibaraka
Akili ndogoUmetaja uozo mwingi, asante kwa kuongeza orodha. Amnesty ... Ongezea kwenye ripoti yenu. besta mlagila
Wameamua kucheza na moto definitely lazima wataungua tuBabako angekuwa Kabendera au Mawazo au Gwanda ndio ungejua uchungu wa Wasiojulikana, kuwa kwako kwenye mirija ya utawala huu kusikufanye kuwa mpofu kwa mabaya yanayotendeka na watawala.
Wanachosema amnest ndicho ambacho wakosoaji wengi wanakipitia hivi sasa, Unazi wako na upenzi wako kwa utawala huu usikufanye kuwa kipofu kwa mabaya ambayo yanatendeka.
Leo kwa mwenzako ila kesho kwako, kumbuka "Kuimba kupokezana"
Wameamua kucheza na moto definitely lzm wataungua tu
Hakuna haja ya kuumiza kichwa kujibu hoja zao otherwise utakuwa unapoteza mda wako bure.Jibu kwa hoja mbona unatukana tu?
Ya Zimbambwe yalianza hivi hivi watu walichekelea sana lakini vikwazo walivyowekewa wanasaga meno endeleeni kupuuza msifikiri hawaoniHao watu Ni wapumbavu Sana Mkuu hatuna haja ya kuwapuuza Wala serikali isiharibu mda wake wa kazi kujibu Wala kuongelea hizi pumba..
Mhuni anajibiwa kihuni
Sasa kama ni kuchambana, na wewe si ungeita press ukawachamba vizuri.Tutachambana nao mpk kieleweke