Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Kwa ninavyojua kazi ya uandishi wa habari ilivyo, yaani unaogopa kukosoa halafu unazidi kujiita mwandishi wa habari. Basi huyo si mwandishi wa habari, ingefaa afanye kazi zingine.jamani tusiwalaumu waandishi wa habari,wamiliki wao wameishawakataza kuandika habari yoyote ya kuikosoa serikali,aidha uhai wao uko hatarini,kumbukeni hakuna stori yenye rhamani kuliko uhai
Wewe lini utaacha kumsifu na kumuabudu Jiwe?Kama vyombo Vya habari vingepuuza basi vingeandika kuikandia hiyo ripoti.Kukaa kimya ina maana kuna kitu hakipo sawa .Vyombo makini vya habari nchini vimepuuuza kwa sababu inawezekana waliyoandikwa kwenye ripoti ni tofauti na hali halisi!
Ni sawa na mtu kutoka nje aandike habari kuhusu nyumba yako halafu eti ukulazimishe kuwa aliyoandika ni kweli wakati wewe ndiye mwenye nyumba na unaishi kwenye nyumba hiyo.
Na wewe utaacha lini kutomsifu na kutomuabudu Jiwe?Wewe lini utaacha kumsifu na kumuabudu Jiwe?Kama vyombo Vya habari vingepuuza basi vingeandika kuikandia hiyo ripoti.Kukaa kimya ina maana kuna kitu hakipo sawa .
Kwahiyo Mahiga aliesema Serikali itajibu ripoti hiyo ni mpuuzi...kama riziki yako ipo kwa kumlamba viatu Magufuli sio wote wako ivoNa wewe utaacha lini kutomsifu na kutomuabudu Jiwe?
Nani alikuambia upuuuzi hujibiwa na mtu asiyempuuzi? Upuuzi hupuuuzwa kama walivyopuuza wanahabari makini/vyombo vya habari makini ripoti ya kipuuzi!
Mkuu unajua ulichokiandika kuhusu kuwekewa vikwazo Zibambwe?Ya zimbambwe yalianza hiv hiv watu walichekelea sana lakini vikwazo walivyowekewa wanasaga meno endeleeni kupuuza msifikiri hawaoni
Kwa hiyo kama Mahiga amesema? Hoja ni kujibu na sio kusema atajibu. Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.Kwahiyo Mahiga aliesema Serikali itajibu ripoti hiyo ni mpuuzi...kama riziki yako ipo kwa kumlamba viatu Magufuli sio wote wako ivo
"Maboso" =Makapi/machicha ya local bear....Eti sheria zote zifutwe. Wakati hizo sheria hazipo je zilitusaidia kuleta maendeleo kama haya yanayofanywa na serikali ya JPM.
Tena nashauri ziongezwe sheria na zipewe ukali zaidi ili wapuuzi wachache kama waliomzushia kifo Mh. Rais wakamatwe vinzuri na kupewa adhabu kali.
Ni ujinga kuendekeza the so called uhuru usiokuwa na mipaka.