Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Hope jana ulisikia taarifa ya habari wenye viwanda wakielezea nini kinachotokea sasa kwenye cement.
 
Hapana, wangeuza laki 3.
Hongera kwa kuwa umejua mna Chadema ikiingia madarakani haita leta uafadhali wowote wa maisha kwa mtanzania zaidi ya kuwa neemesha kwanza viongozi wao.
 
Huyo jiwe wenyu ashatuchafua kidiplomasia na kibiadhara siku nyingi tu siyo mgeni kwetu, hata tumeshazoea na kujipanga.
Wala hatumsujudii Tena ,tunapambana naye tu hapa kwenda mbele.
Treni lishaondoka kituoni.
 
Msaada:hivi ukipewa hifadhi na Nchi fulani, hiyo Nchi itagharamia maisha yako mfano hela ya chakula, nyumba n. k
 
Wampe hifadhi anakimbia vita gani ?
 
tz hatuna wakimbizi wa kisiasa nyinyi sakamonis.

tuna rundo la wakora waliokosa viti vya ubunge,wanaotumia msamiati(mkimbizi)vibaya.

Labda ungelitazama tafsiri halisi ya mkibizi wa kisiasa kama lilivyo tafsiriwa na Umoja wa mataifa (UN). Shukran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…