Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Bunge ni wapi lime tunga sheria ya kuruhusu wizi? Kuoiga watu risasi? Kupoteza watu? Kuzuia haki ya kupata habari?
 
Mkuu CCM inaondoka mwaka huu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
CCM itabaki kwa ukubwa ambao haujawahi, kama mlishindwa kwa Lowasa,
Itakuwa kwa huyu sho* ga members?
Hao marafiki zake wa huko na Amsterdam wake wao wandike ujinga tu.
Uchaguzi utaisha na maisha yataendelea ila huyo kibaraka wao atajuta kuish hapa Tz labda akimbie nchi.
Na bado ana kesi za kujibu.
 
Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Hebu taja ni sheria gani hiyo ilyohalalishwa na bunge ya wizi Wa kura,matakwa ya mashirika ya nje yanataka uchaguzi uwe Wa huru na haki.
Nyie hamtaki uwe Wa huru na haki,uchaguzi ukiwa huru na haki yani chadema inashinda SAA NNE asubuh,ikifuatiwa na chauma na ccm ya tatu.jaribuni muone.
 
Hakuna atakaeweza kutuingilia mambo yetu yandani. Wasubutu waone.
Wanawafurahisha manyumbu na akili zao za kitumwa. Hii ndio inaongeza raia kuwa na chuki zaidi na upinzani.
 
CCM inaweza isiondoke mwaka Hui ila kwa Tania za Bwana yule imeanza kutengenezewa njia ya anguko lake, na hii ni kutokana na kiburi maana bwana yule katengeneza maadui wengi wa ndani na nje.
Mkuu CCM inaondoka mwaka huu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
 
Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Utopolo tu ulioandika, Tanzania imeridhia mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu, Uhuru wa habari na nk,
na inawajibika kuitimiza.
Wadanganye wajinga wenzio wa lumumba tu
 
Akuna namna amabavyo wapinzani wataachwa kupigwa paipu mwaka huu.
 
Tatizo ni kuwa watanzania wanawaona wazungu ni maadui zao zaidi ni vyema kama hizo taasisi (wazungu/mabeberu) wakae kimya tu


Yaani hawa walioowa wazungu na kuolewa ni maadui na ndio wakaowana . Hilo bakuli analolitembeza huyo mvuta bangi wenu wa Chato kumbe huwa anaomba pesa kwa maaduwi ??

CCM ni msiba kwa Taifa
 
Kuna angle mbaya sana Magufuli amebanwa mwaka huu. Na kama system wana jicho la tatu walione hili. Huyu jamaa akiwa tena Raisi 2020-2025 kuna vikwazo vizito tena vya kutisha Tanzania tutawekewa kuanzia na UN hadi wakubwa wa dunia.

Sasa swali ni Je tukubali Magufuli awe Raisi ili tuwekewe vikwazo tukose madawa hospitalini, uchumi uwe mbaya watu wakose ajira au turuhusu haki ichukue nafasi na Tanzania tustawi kimaendeleo na tuishi kwa furaha???

Je Meli izame kweli kwa sababu tu Yona yupo ndani au tumtose yona baharini ili meli isizame na tupone???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…