Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

Heehee Mwaka huu kuna shughuli kubwa inaendelea yetu macho na masikio kusikia.
 
Tatizo ni kuwa watanzania wanawaona wazungu ni maadui zao zaidi ni vyema kama hizo taasisi (wazungu/mabeberu) wakae kimya tu
Hawa wapuuzi na wehu ndani ya CCM wasivokuwa na chembe ya BUSARA watasema hizo ni njama za Mabeberu.....!!!
Sijui huwa wanakwama wapi Hawa vichaa Hawa. Tanzania siyo Kisiwa! Tanzania ni nchi Huru inayoshorikiana na Jumuia za Kimataifa kwa mikataba maalumu ya Kimataifa katika kulinda Uhuru wake, Heshima na Utu wa WATANZANIA. Lakini pia kunufaika Kisiasa,Kiuchumi, Kielimu, Kiafya na Kivita. Katika maeneo yote hayo Kuna Mikataba maalumu ambayo Tanzania Kama nji imesaini na kukubaliana nayo!!

Tanzania haiwezi kujitenga na UN na Taasisi zote zikixoko chini ya UN k.m. WB,WHO, FAO, UNESCO, IMF, WFP,BARAZA LA USALAMA, n. k.
Ukija upande wa Africa tuna AU, EAC, SADC, etc.
Serikali ya CCM chini ya Magufuli imeamua kugombana na kila Jumuia za Kimataifa kwa sanabu dhaifu kabisa ya ati: VITA YA KIUCHUMI...!!!.....MABEBERU...!!!
Hizi ni propaganda za kijinga kabisa katika dunia ya sasa. Swali rahisi kabisa ni: Je, Tanzania ndo nji ya kwanza kuanza kujenga Uchumi wa Kati ulio wa Chini? Siyo kweli!!!

Wanachofanya CCM ni kujaribu kuihadaa dunia kuwadanganya Watz kwamba ATI MABEBERU WANAMWONEA WIVU MAGUFULI......It' s Nonsense and Absurdity.
 
Adui mkubwa wa uchaguzi wetu ni tume ya uchaguzi na jeshi la polis.nchi yetu ikiingia kwenye machafuko wakuuu wa vyombo hivi wawajibike haraka ikiwezekana wafikishwe icc

Kama kutakuwa na hujuma ya aina yoyote kuvuruga Uchaguzi huu usiwe HURU NA HAKI, BASI TANZANIA INAKWENDA KUCHUKUA MWELEKEO WA ZIMBABWE YA MZEE MUGABE(rip)
Tarehe 28 Oktoba siyo mbali....pressure na temperature zinapiga alarm. You've got it coming....!!!
 
Yapo mambo yamejificha sana. ukiniluza nitakwambia Bora amani kuliko uchaguz. Why hakuna uchaguz wa uhuru Ila tunapoteza muda usio na sababu.
 
ukisimama na mungu maadui huteseka sana, inakuwaje magufuli mmoja anawaimbisha taarabu mabeberu na vibaraka wake? mungu mlinde magufuli aendelee kuwajambisha watesi wetu
 
Tatizo bwana yule hawezi kuelewa mpaka atafsiriwe
 
Heehee Mwaka huu kuna shughuli kubwa inaendelea yetu macho na masikio kusikia.
Na siyo shughuli ndogo hadi watu wamemfanyia research ya page zaidi ya 30 si mchezo.
 
Nani kakupa kibali cha kusema Watanzania ni wapumbavu kama wewe? Watanzania kwa sasa wanajielewa, ccm lazima itoke madarakani mwaka huu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mipumbavu tunayo humu mkuu pamoja na yoote ya ajabuajabu ccm wanayofanya Kuna mijitu haielewi kitu kabisa inaona ccm ndiyo Kila kitu
Bora wale wanaotetea matumbo yao unaweza sema wanajitoa ufahamu kutetea ugali wao lakini Kuna ambao hawafaidiki na chochote huko ccm lakini ndiyo wanaona Ni chama Bora kabisa
 
Yapo mambo yamejificha sana. ukiniluza nitakwambia Bora amani kuliko uchaguz. Why hakuna uchaguz wa uhuru Ila tunapoteza muda usio na sababu.
Dunia inajua mmepanga nini na mnafanya nini. Majibu mtayapata soon!!
 
Amnesty International wajinga tu, wao tayari wapo biased, hatuwahitaji Tz waendelee tu kutoa matamko yao kutokea Nairobi na baada ya uchaguzi Lissu atawafuata pia huko huko.

Kwani mgombea wa upinzani ni Lissu tu?
 
Nothing you can do to stop this movements and whay can`t you try to comments about the US election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…