Unaona tatizo lako sasa? Mpaka uone neno mpumbavu ndiyo ujue kuwa wewe ni mpumbavu?? Matendo yako mkuu, matendo, au utasema matendo yako nimeyaona wapi?Hakuna neno wapumbavu kwenye comment yangu lkn jwa kuwa wewe ni mpumbavu na familia yako yote umeongeza hilo neno sababu wewe ni mkuu wa wapumbavu
Hakuna machafuko yoyote yanayoweza kuikumba Tanzania yetu,labda zile kelele za kujifariji kwamba mmeibiwa Kura ambazo huwa tumezizoea.Adui mkubwa wa uchaguzi wetu ni tume ya uchaguzi na jeshi la polis.nchi yetu ikiingia kwenye machafuko wakuuu wa vyombo hivi wawajibike haraka ikiwezekana wafikishwe icc
CCM hawana Chao uchaguzi huu Mimi wa pili na kura yangu hii apa kwa Lissu sema Tena upuuzi niwalete wengine miaTatizo ww ni mmoja na kura yako ni moja
Tatizo ni kuwa watanzania wanawaona wazungu ni maadui zao zaidi ni vyema kama hizo taasisi (wazungu/mabeberu) wakae kimya tu
Kama hivi ndivyo BAVICHA mnavyoamini basi mna mengi sana ya kujifunza kabla ya kuota kuongoza nchi.Utopolo tu ulioandika, Tanzania imeridhia mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu, Uhuru wa habari na nk,
na inawajibika kuitimiza.
Wadanganye wajinga wenzio wa lumumba tu
Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Mkuu CCM inaondoka mwaka huu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
Tatizo wewe unaotaTatizo ww ni mmoja na kura yako ni moja
Nimegundua mataga na mashabiki wa CCM ni wapumbavu, na ukiwaambia huo ni upumbavu wanadai umewatukana. Angalia kauli zao hazionyeshi afya ya akili hata kidogo.Nani kakupa kibali cha kusema Watanzania ni wapumbavu kama wewe? Watanzania kwa sasa wanajielewa, CCM lazima itoke madarakani mwaka huu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hivi leo umeenda haja kweli mkuu? Teheheeeee nimecheka kwa sauti kubwa sana.Mkuu CCM inaondoka mwaka huu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
serikali dhalimu ya chama cha kijani muda si mrefu tutaifukia kwenye kaburi alilochimba kwa mikono yake
Mimi naona kuwa ukisema tumenyang'anywa uhuru na sasa tunataka tuurudishe ni sera. Ukisema tumeteswa, tumetekwa, tumeuliwa na sasa tunataka kurudisha ubinadamu katika kutawala ni sera. Ukisema tumenyimwa pesa za mfukoni zikapelekwa kujenga flyovers, kununua ndege na sasa tunataka kipaumbele kiwe pesa mfukoni ni sera. Ukisema kujenga uwanja wa kimataifa Chato kwa pesa za wananchi bila dawa hospitalini si kipaumbele, ni ubadhirifu na tutabadili tabia hiyo ni sera. Ukisema kuwa kudhalilisha utu wa wanawake kwa matamko hadharani si maadili wala hadhi ya rais na utabadili mtindo huo ni sera. Unaweza kuishia sera hizi au ukaongeza za uchumi, uhusiano wa kimataifa, n.k., lakini hizi ni sera kabisa kabisa. Ndiyo, kuingia Ikulu kunategemea sera, zikiwemo hizi, pamoja na mambo mengine mengi nje ya sera mahsusi!JPM , Now Ubungo , " ... tumefanya mengi hadi wakubwa wamenuna, ....ndio maana wameweka vibaraka wao ili haya mazuri yaishie mwaka huu.." Bado tuna safari Lissu tuvushe.
Mimi naona kuwa ukisema tumenyang'anywa uhuru na sasa tunataka tuurudishe ni sera. Ukisema tumeteswa, tumetekwa, tumeuliwa na sasa tunataka kurudisha ubinadamu katika kutawala ni sera. Ukisema tumenyimwa pesa za mfukoni zikapelekwa kujenga flyovers, kununua ndege na sasa tunataka kipaumbele kiwe pesa mfukoni ni sera. Ukisema kujenga uwanja wa kimataifa Chato kwa pesa za wananchi bila dawa hospitalini si kipaumbele, ni ubadhirifu na tutabadili tabia hiyo ni sera. Ukisema kuwa kudhalilisha utu wa wanawake kwa matamko hadharani si maadili wala hadhi ya rais na utabadili mtindo huo ni sera. Unaweza kuishia sera hizi au ukaongeza za uchumi, uhusiano wa kimataifa, n.k., lakini hizi ni sera kabisa kabisa. Ndiyo, kuingia Ikulu kunategemea sera, zikiwemo hizi, pamoja na mambo mengine mengi nje ya sera mahsusi!Hamna uwezo huo zaidi ya kuropokaropoka, nchi hawezi kupewa mtu ambaye hana sera zozote zaidi ni kumtukana na kumsema vibaya Magufuli.
Hakuna mia moja bila moja.Tatizo ww ni mmoja na kura yako ni moja