Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Nielese na nioneshe wp ktk sheria ya Tanzania watu Wana zuiwa kukusanyika
Wapi imeelezwa ni haramu harakati za kisiasa
Wapi imeelezwa hakutakua na UHURU vwa kujieleza
 
Nielese na nioneshe wp ktk sheria ya Tanzania watu Wana zuiwa kukusanyika
Wapi imeelezwa ni haramu harakati za kisiasa
Wapi imeelezwa hakutakua na UHURU vwa kujieleza
Wewe nawe ndio walewale.
Kabla ya kulalamika, umeelewa hilo tamko la Amnesty International linalojadiliwa?
 
Hivi kwanini Bavicha wengi wana utashi wa kuongea kwa kelele na nguvu bila hata kuelewa kinachojadiliwa?
 
Nyau nyie Marekani mmewaandikia barua ngapi juu Ya mauaji Ya watu weusi? Hovyo kabisa
TZ ni Ya. Magufuli
 

Hii ni habari njema.

Hivi kweli kama mnakubalika ya nini kuwabana upinzani kiasi hiki? Hamtaki wasema, hamtaki wasikike hata sisi wapiga kura nao hamtaki tuseme wala kisikika?

Yote hii ni kwa sababu mnatupenda sana sisi wananchi na hii nchi kweli?

Oneni aibu basi angalau hata kidogo?

Kwanini msitusikilize mkajua tunataka nini ili mjipange kutupa au kutuacha kama hamuviwezi au kama hamtaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…