Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki


Tatizo, sisi Watanzania tunajua na AI wanajua kuwa Bunge la JMT halina uwezo wa kujadili na kukataa kupitisha muswada unaoletwa na serikali hata kama unapingana na Katiba na mikataba ya kimataifa tuliyoridhia. Hivyo, si kila sheria inayopitishwa na Bunge hilo ni halali.

Bunge linashindwa kuonyesha uhuru na uhalali wake kivitendo. Ukweli ni kuwa Rais wa JMT yuko juu ya Bunge: ana uwezo wa kutunga, kutengua na hata kupuuza (ignore) sheria yoyote ya nchi. Bunge linatumika kama muhuri tu kuweka uhalali.
 
Sheria za Tanzania zilizotungwa na Bunge halali la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haziwezi kufutwa kwa matakwa ya shirika binafsi la nje.
Hilo ni bunge la maccm.Bunge la wananchi wa TZ haliwezi kutunga hizo sheria za hovyo.
 
Adui mkubwa wa uchaguzi wetu ni tume ya uchaguzi na jeshi la polis.nchi yetu ikiingia kwenye machafuko wakuuu wa vyombo hivi wawajibike haraka ikiwezekana wafikishwe icc
Umeona ulivyo mnafiki we kijana .hao wanamsikiliza adui wetu mkubwa tunamjua
 
Hamna uwezo huo zaidi ya kuropokaropoka, nchi hawezi kupewa mtu ambaye hana sera zozote zaidi ni kumtukana na kumsema vibaya Magufuli. sasa tunasema iwe mvua liwe jua Lissu hawezi kwa namna yoyote kuwa Rais JMT
tuliza kinena 20october tupenyeze dushelele... baada ya hapo ni mimba. TAL ni next level.
 
Hawa mashoga na mgombea wao uumini wa ushsga wasifikirie Tanzania chini ya JPM inaweza ikatishiwa nyau ikatishika. Wajifunze jambo kuhusu vitisho vya corrona na hatima yake.

Leo hapo Mburahati wametu mvua imetumika kama fundisho kwa wale wagumu kukubali ukweli juu ya ushindi wa kishindo wa JPM na CCM.
 
Kama umtaki ni wewe tu,
Watu tunajadili kumuongezea kipindi Cha utawala angalau miaka 20, wewe unaongelea aondoke!
Wewe vipi????
 
Nina kuhakikishia baada ya huu uchaguzi chadema inakufa rasmi
 
Tatizo ni kuwa watanzania wanawaona wazungu ni maadui zao zaidi ni vyema kama hizo taasisi (wazungu/mabeberu) wakae kimya tu
Tutawaamini vipi kama wao wanafik? 2015 Zanzibar kulifanyika uchafuzi, wao walifanya nini? 2001 watu waliuliwa Pemba na BWM amekiri lakini wao walifanya nini? Hapa mi naona wanachofanya ni kujionesha kuwa wanafanya kazi ila matendo sifuri.
 
Nani kakupa kibali cha kusema Watanzania ni wapumbavu kama wewe? Watanzania kwa sasa wanajielewa, CCM lazima itoke madarakani mwaka huu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
JAMANI IVI MNAFAHAMIANA NA MA.ADMIN WA JF?? MIMI NIKIMUITA TU MTU MPUMBAFU NAKULA BAN YA WIKI, YANI MWENZENU SINA RAHA KABISA NA PIA SIKO HURU UMU JANVINI, YOTE MAISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…