Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto.

Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa kila akiulizwa swali na mkewe alikuwa hajibu na alikuwa kimya tu. Pamoja na ukimya aliokuwa nao mwanamke hakuondoka wala kumuacha na ndani ya miaka hiyo 20 walipata watoto wengine 2

Mwaka 2017 baada ya watoto wao kuona kwamba Baba na Mama hawaongei, walienda kwenye kituo kimoja cha habari huko Japan kusimulia yanayoendelea kwa wazazi wao na ndipo kituo hicho kikaamua kuandaa "date" au kipindi maalum kwa ajili ya mwanaume huyo na mkewe.

Katika kipindi hicho, ndipo mwanaume aliamua kuongea na kusema kwamba wivu na mkewe kuhamishia mapenzi kwa watoto ndiko kulimfanya ajihisi vibaya na kuamua kuwa kimya kwa miaka yote hiyo. Baada ya kipindi hicho jamaa alianza kuongea na familia ikaendelea

japan.jpg

==================

A Japanese man from Nara has shocked the world with his story of silence. Otou Katayama did not speak to his wife, Yumi, for 20 long years. They lived in the same house, raised their children, and even had a third child during this time.

But despite living together, Otou never said a word to Yumi. He responded only with nods, grunts, or small gestures. Yumi tried many times to talk to him, but he refused to answer.

Years later, Otou finally revealed the reason for his silence. He said he felt left out and ignored. According to him, Yumi gave all her attention to their children. At first, he felt upset. But soon, this turned into deep jealousy. He was hurt that he didn’t feel important to his wife anymore.

Instead of speaking up, he chose to remain silent. What began as sulking became a habit that lasted two decades.

Their story came to light when their 18-year-old son wrote to a TV show, hoping to get his parents talking again. The show brought them to a park where they once had a date, and there, Otou finally broke his silence. He admitted he had been jealous of the attention she gave the kids and apologized.

Source: Newsweek
 
Kumbe wajinga wapo dunia nzima.Kwahiyo walinuniana kuongea ila vile viungo vya kuchakata watoto vyenyewe havikununiana.Maajabu hayaishi duniani.
 
Yaani wamenuniana ila mzigo unaliwa kama kawaida duh!😂😂🙌
 
Back
Top Bottom