Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Endeleeni kunitukana matusi ya nguoni mupate Likes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kunitukana matusi ya nguoni mupate Likes
😀😀😀Endeleeni kunitukana matusi ya nguoni mupate Likes
Acha kupaniki na kuchanganyikiwa mapema mapema baada ya kuona akiwasambaratisha kila anakopita.Hana Cha maana huyo anadandia dandia matukio tu. km wasanii wa bongo movie
Jibu hojaa weeeKwa sera na ajenda zipo mlizonazo CHADEMA mpaka muogopwe? Hivi kwanini huwa mnakosa akili na ufahamu kiasi hicho? Kwanini mnakuwa vipofu wa akili na macho? Hivi CHADEMA iliyojichokea na kupoteza muelekeo inaanzia wapi kuwa tishio kwa CCM hoi iliyo imara na madhubuti kila uchao???
Sensema hiii hiiiNdugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu.
Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea ,kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM.ambapo imeshuhudiwa maelfu ya wananchi wakifurika na kumiminika kwa wingi kama mchanga wa baharini kumlaki mtaalamu na nguli huyu wa Mahesabu hii ni kutokana na imani kubwa sana waliyonayo wananchi kwa CCM chama ambacho kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.
Lakini vilevile Mheshimiwa CPA Amos Makala ambaye amewahi kuwa mhazina wa CCM Taifa ameweza kuzungumza pia na viongozi wa CCM pamoja na serikali kutoka Ngorongoro.
Ikumbukwe wakati viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa ziarani maeneo mbalimbali Nchini,kama tunavyoshuhudia naibu katibu mkuu Bara naye akiwa ziarani mkoani singida ,huku naye naibu katibu mkuu Zanzibar naye akiwa ziarani,.hali imekuwa ni ya kusikitisha na kutia huzuni sana kwa CHADEMA chama kilichojikatia tamaa na kupoteza matumaini.
Hakuna mikutano wala ziara wala nini zinazofanywa na viongozi wa CHADEMA.hii ni kutokana na kushindwa na kuishiwa sera na ajenda za kuzungumza kwa wananchi.ndio sababu unaona chama kimekata pumzi na kupoteza muelekeo kabisa.
Kwa hakika CCM ndio nguzo kuu ya Taifa letu na chemchemi ya matumaini ya mamilioni ya watanzania.hakuna Tanzania yenye maendeleo na utulivu pasipo CCM madarakani.ndio sababu kwa usikivu wake CCM inaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania na kuungwa mkono kila uchao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.