watanzania ukweli tumezidi uchafu, utakojoaje kwenye chupa za maji ya kunywa halafu utupe barabarani,utakojoaje kwenye mitaro mjini dar au barabarani watu wanakuona, utatupaje uchafu ukiisha kula kwenye gari,unautupa nje, unatupaje uchafu ndani ya mifereji ya maji ya mvua mpaka kusababisha mitaro kujaa maji, bado mnatakiwa kufundishwa usafi na uvaaji kuvaa mituba jeas sio ujanja leo ukisimama waliovaa jeas na kadet mitumba ni asilimia 80% utafikiri vazi la taifa, konda wa daladala na dereva wananuka utafikiri wanauza itumbo wa nguruwe nguo zao hazifuliwi mpaka kero