Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Hii ni aibu ya mwaka aisee.Duh aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni aibu ya mwaka aisee.Duh aiseee
Inawezekana Makala anatamani dar iwe kama Moshi,kigali au Brussel ila wadanganyike hawajataka kumuelewa ameamua kuwapeleka darasani wachafuzi wa mji,tena kwa kuwapatia hamasa kubwa,hivyo ni vyema ukamhukumu baada ya kupima ufanisi wa wazo lake,mpe muda,ili umhukumu kijani mwenzio kwa haki🤔 .Ila usiache kufuatilia kwa karibu ufanisi wa uwekezaji wake na wazo lake,kama upigaji utajua tu🤔Mkuu mimi hakuna kitu ninachochukia kama uchafu. Laiti wana Dar es salaam wangekuwa wanauchukia uchafu kama niuchukiavyo basi mji wetu ungekuwa ni zaidi ya Brussels achilia mbali Kigali nk.
NGoja watu wale trip, next...mama ntilie, wauza matunda etcNimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha
Natamani apite hapa aone ushauri mzuri uliompa.Hiyo hela bora ingeongeza nguvu kwenye kuzibua mitaro,kununulia gari la takataka au kupiga sakafu baadhi ya masoko ambayo kipindi cha mvua uwa yanajaa matope ukiyaangalia uwa kama mabwawa ya kinyesi
Ya kama ulivyoandika kuwa inawezekana yeye ana nia ya dhati ila sasa aliowapeleka ndo watakaomuangusha. Ndomaana sisi tumeanza kulalamika mapema maana tunajua fedha nyingi zitatumika lakin mwisho wa siku hakuna kitakachowabadilisha aliowapeleka.Inawezekana Makala anatamani dar iwe kama Moshi,kigali au Brussel ila wadanganyike hawajataka kumuelewa ameamua kuwapeleka darasani wachafuzi wa mji,tena kwa kuwapatia hamasa kubwa,hivyo ni vyema ukamhukumu baada ya kupima ufanisi wa wazo lake,mpe muda,ili umhukumu kijani mwenzio kwa haki🤔 .Ila usiache kufuatilia kwa karibu ufanisi wa uwekezaji wake na wazo lake,kama upigaji utajua tu🤔
Jamaa kaiona fursa kaamua kuitengenezea mazingira ya kuchakachua mapema.Zama za upigaji ndio hizi yaani kama atakuwepo kiongozi akashindwa kupiga pesa au kujengea malaya/mchepuko wake awamu hii basi hatafanya tena hadi atakapofukiwa ardhini.
Yaani anakodi ndege na kuchukua chake % kwa ziara asiyo na kichwa wala tumbo.
Wacha waisome namba see! Ccm mbele kwa mbeleNimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
wapi nimesema hawajakwea pipa?nilichopinga ni kuwa hawajakodishiwa ndege bali wametumia ndege ya abiria tu kama wengine.Watu wamekwea pipa mkuu. Wewe uko nchi gani mpaka usiyajue haya yanayoendelea nchini?
Umeandika kwa uchungu sanaa. wewe ni mzalendo... Lkn viongozi wetu wengi wanafanya mambo ya ovyo sanaa mkuu..Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Acha ushamba kwani watu wa Dar si watanzania na wana nini cha mno zaidi?Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Just imagine hadi usafi watu wanafunga safari kwenda kujifunza nchi nyingine!Sisi.hakuna.kitu tunaweza , yaani hata suala la usafi.?
Hizo pia ni gharama kutokana na ukubwa wa bei ya ticket ya Go and Return. Fikiria kama wamekwenda watu 50 ni kiasi gani cha nauli kimetumika. Hapo bado chakula, hotel, malazi nk.wapi nimesema hawajakwea pipa?nilichopinga ni kuwa hawajakodishiwa ndege bali wametumia ndege ya abiria tu kama wengine.
Kweli mkuu, hizo pesa zingetumika kwa ajili ya mambo mengine ya msingi kuliko kuzichoma katika mambo ya hovyo na yasiokuwa na tija kama hayo.Umeandika kwa uchungu sanaa. wewe ni mzalendo... Lkn viongozi wetu wengi wanafanya mambo ya ovyo sanaa mkuu..
Izo hela zingefanya mambo mengine ya msingii
Kila mtu anajiuliza swali hili hili mkuu.Yupo sawa kichwani?