Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #101
Sikusema watu wa Dar peke yao bali nimesema na watanzania kwa ujumla. Au wewe haujasoma heading. Hata hivyo Makalla ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na waliopelekwa wanatoka Dar ndomaana unaona nimeihusisha Dar zaidi kwenye thread nzima.Acha ushamba kwani watu wa Dar si watanzania na wana nini cha mno zaidi?
Ingekuwa ni waziri ndio kafanya hivyo basi mada ingehusu Tanzania nzima.