Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

Wewe ulitakaje? Watanzania, hasa hapo Dar ni wachafu mnooo, angalia wanavyotupa uchafu kila kona, kwenye mirefeji ya barabara, akikuta dust bin yeye anatupia pembeni. Mtu yuko kwenye Harrier kali lakini uchafu anarusha nje hukoo... Sasa acha waende kuona wenzao huko Rwanda walivyo wastaarabu. Bodaboda wa pale Kigali akifika zebra au kwenye trafiki light wanasimama bila shuruti, hawa wa kwetu utadhani vichaaa...
 
 
Soma nilichoandika hapo chini vizuri utaelewa ni kwanini nchi nyingi ambazo zimeendekeza demokrasia na haki za binadam haswa kwa Afrika swala hilo ni gumu kutekelezeka. 👇
 
Angewapeleka hapo Moshi tuh
Naona alikuwa anatafuta mwanya wa kuongeza urefu wa kamba yake.

Aliona kwa Tanzania hii ingekuwa ngumu kuongeza urefu wa kamba hiyo maana ingekuwa rahisi kumshtukia.
 
Kwani VETA mbona wanfundisha wafanya usafi kwenye kampuni binafsi za usafi? Au hajawahi kwenda hat Jmall achia mbali benki, akaona usafi ukoje? We RC wahimize wazoa taka wafanye kazi zao. Chukua kwanza viongozi wa manispaa zako wajifunze usafi wa masoko na maeneo ya jiji.
 
watanzania ukweli tumezidi uchafu, utakojoaje kwenye chupa za maji ya kunywa halafu utupe barabarani,utakojoaje kwenye mitaro mjini dar au barabarani watu wanakuona, utatupaje uchafu ukiisha kula kwenye gari,unautupa nje, unatupaje uchafu ndani ya mifereji ya maji ya mvua mpaka kusababisha mitaro kujaa maji, bado mnatakiwa kufundishwa usafi na uvaaji kuvaa mituba jeas sio ujanja leo ukisimama waliovaa jeas na kadet mitumba ni asilimia 80% utafikiri vazi la taifa, konda wa daladala na dereva wananuka utafikiri wanauza itumbo wa nguruwe nguo zao hazifuliwi mpaka kero
 
Ushauri wako ni mzuri ila kwa vile sio wa upigaji, sidhani kama atauchukua.

Lengo ni la kuwapeleka mbali ili chenji ikibaki katika gharama za usafiri iingie mfukoni kwake.
 
Japo hapo kwa konda na dereva nimecheka, lkn huu ndio ukweli wenyewe.

Kingine tuache uvivu, unaangamiza familia zetu na taifa letu.
 
MAKALA ni Dalali na panapo pesa anaupiga mwingi kweli kweli naskia kuna sehemu kavuta mpunga amewapa watu binafsi huko Gongolamboto wakati serikali inajenga stendi kubwa ya Mwendokasi, jamaa ndiomana kanenepa hadi masikio nyambaf.
 
Aliemteua kuwa RC nae hayupo serious....ndio walewale tu.
 
MAKALA ni Dalali na panapo pesa anaupiga mwingi kweli kweli naskia kuna sehemu kavuta mpunga amewapa watu binafsi huko Gongolamboto wakati serikali inajenga stendi kubwa ya Mwendokasi, jamaa ndiomana kanenepa hadi masikio nyambaf.
Inamaana kakata hadi kamba aliyopimiwa? Kweli jamaa kiboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…