Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe