LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Bila kuitaja cdm hakuna mwanaccm anaweza kusikilizwa akaeleweka. Kuna ukweli ambao wanaccm wanaona haya kuukiri lakini huo ndio ukweli.

Katika makosa system ya nchi imefanya ni kuacha ccm ikae madarakani muda mrefu kwa shuruti, huku jamii ikiwa imeshaichoka. Matokeo yake ndio hii aibu ya kupika hadi idadi ya wapiga kura, baada ya wapiga kura wa upinzani ambao ndio wengi kuacha kwenda kujiandikisha kukwepa kupoteza muda kwenye uchaguzi kiini macho.

Jitahidi mkikaa kwenye vikao vyenu muambiane ukweli kuwa hiki sio kizazi cha ccm, hivyo lazima ikubali kuwa wakati ukuta. Ccm kwa sasa naifananisha na mwanamke aliyekuwa mrembo zamani, ila sasa hataki kukubali kuwa amezeeka bali analazimisha kuvaa nguo fupi, na kupaka makeup kwa hela za wizi ili avutie vijana. Kizazi kimeshabadilika eleweni hilo. Hakuna kijana anasikliza nyimbo za Sikinde na Ottu jazz eti kisa zinaamaadili, aache kusikilisza za kina Mario, Zuchu nk eti kisa zina matusi.
 
Hiyo nafasi inahitaji mtu sharp ;

Anayejua kujenga hoja zenye ushawishi.

Si mzee sana na sio kijana sana.

Ila sio hicho kibabu kilichopitwa na wakati.

Ona mambo anayoongea sasa.
 
Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Contents to stay relevant 😅😅😅
 
Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Nani anafanya hivyo Dunia ya leo ya Politics za Attack (ili washinde i.e wanatafuta kura ili wapate kula) au defense (ili waendelee kula)..., In short Siasa za Sasa duniani leaves a lot to be Desired ndio maana kuna siku nikasema hivi...

Lakini hata hivyo Vyombo vya Habari vimegeuka kutoka kwenye kutoa habari na kutoa opinions at best and at worse propaganda mashines...
 
Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Huyu sijui kama ataweza siasa za uchaguzi mkuu anaweza toa boko litakalochafua chama.
 
Hili tulishajibiwa kitambo, fanya yako ndugu acha kuchungulia ofisi za watu - uchawi si lazima upae na ungo.
 
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
yeye yanamhusu nini, sisi tunataka kujua CCM mmewafanyia nini wananchi kwa miaka yote mliyokuwa madarakani kama sio kuteka na kuuwa kwa kutumia polisi na wengine.
 
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Mnyiramba siyo mtu wa kumuamini kamwe. CCM imeingiliwa na malofa wa akili. Wananchi wana kero chungu mbovu,wewe unaleta sera za kugombanisha watu. Hopeless.
 
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
CCM ina maana imekosa kabisa mtu mwenye akili timamu wa kushika hiyo nafasi ya mweneze, mpaka kumpa huyu?

Inaonekana haelewa hata majukumu ya ofisi yake.
 
Back
Top Bottom