Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Hili guluguja nalo linaongea ujinga ujinga tu, yeye siku zote sera yake ni Lissu na Chadema tu hana la kuwaambia wanachama wake, pumbavu kabisa.Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Hizo ni propaganda, uzushi, uongo..Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Hii nafasi bado haijapata mtu sahihi.Ningependa zaidi sana mwenezi wetu kujikita kwenye mambo yetu, na mambo ya jirani awaachie jirani wenyewe!.
P
Kweli KabisaNingependa zaidi sana mwenezi wetu kujikita kwenye mambo yetu, na mambo ya jirani awaachie jirani wenyewe!.
P
Wamrudishe Nape Nauye kama Mchungaji Msigwa bado mgeniHii nafasi bado haijapata mtu sahihi.
Amos aibu yako hii, mbona hii ya kitambo sana na imeshabuma wewe ndiyo unakuja nayo?Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Labda ni MWENEZI wa vyama vyote viwiliNingependa zaidi sana mwenezi wetu kujikita kwenye mambo yetu, na mambo ya jirani awaachie jirani wenyewe!.
P
TULIENI SINDANO IWAINGIEEEHili guluguja nalo linaongea ujinga ujinga tu, yeye siku zote sera yake ni Lissu na Chadema tu hana la kuwaambia wanachama wake, pumbavu kabisa.
Kwani huyu ndo msemaji wa chademaMwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Hilo guluguja halina akili kabisaKwani huyu ndo msemaji wa chadema
Inaelekea hana jipya katika mambo yenu ndio maana anajikita kwa jirani.Ningependa zaidi sana mwenezi wetu kujikita kwenye mambo yetu, na mambo ya jirani awaachie jirani wenyewe!.
P
Nape alikunya hadi leo mavi yake yananuka hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi ndiyo yanazidi kunukaWamrudishe Nape Nauye kama Mchungaji Msigwa bado mgeni
Sasa kama chadema wamegawanyika si ndio faida kwa chama chetu ccm? Sasa kwanini watoto wanaandikishwa uchaguzi wa mitaa wakati chadema ishasambaratika?Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Nchimbi ana akili kuliko huyu boya.Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Huyo guluguja hajawahi kumiliki akiliNchimbi ana akili kuliko huyu boya.