LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hili guluguja nalo linaongea ujinga ujinga tu, yeye siku zote sera yake ni Lissu na Chadema tu hana la kuwaambia wanachama wake, pumbavu kabisa.
Huo ukweli mbona sisi tunaujua toka siku nyingi tu, na tumeshausema humu. Au kwa kuwa Makala kausema kwa sauti ya juu basi imekuwa nongwa?!
 
Mbona CCM kuna upande wa sa100 na upande wa Nchimbi tuko kimya
 
Ni kweli wala sio siri
 
Poor Kind approach, they can not leave without mentioning CDM National Leader and I think they Wrong
 
Makala amekuwa mwenezi wa CHADEMA sikuhizi badala ya kuelezea ya chama chake (CCM) anajikita kuelezea ya chama kingine au ndo nyepesi anazopatiwa na Msigwa nae anaruka nazo pasina kupima uzito wake
 
Ukisikia uchawi ndo huu, unayajua ya jirani, ya kwako huoni mgawanyiko ulioko!
 
Mbowe hadi leo haamini kama wale watu elf 1 waliomuahidi watakua nae kwenye maandamano hakutokea hata mmoja
 
Ccm na magenge yake wanaamini adui wa taifa hili ni chadema na viongozi wake,tuna safari ndefu kujiongoza kama taifa.
 
Na CCM imegawanyikaje? Au CCM mama Samia na CCM wanachama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…